Ulikubali nini mpaka kuwa naye?

papag

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
1,137
1,608
Eid Mubarak wakuu. Leo napenda kuwauliza

Katika mahusiano yako uliyo nayo kipi kilikufanya uwe naye? Je, ni swaga zake? Mtongozo wake ndio ulikushawishi?

Muonekano wake? Au uliunga nishiwa na mtu au watu? Mfuko wake?

Stay safe Corona iphoo mleu!
 
Back
Top Bottom