katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,760
Nakumbuka enzi hizo nilikuwa nateseka kupata mtu halafu nakashifiwa na sio mimi tu baadhi ya wadada humu ila nikija fikiria nilikuwa napigana humu ndani kama napigania uhuru haswa sijajua kama nini nimeonaga humu
Nikiwazaga nachekaga sana hivi mkumbuke enzi hizo mlipokuwa mnatafuta ubavu wenu wa moyo ni vikwazo gani mlipitia mpaka mkakamilisha safari yenu?
Nikiwazaga nachekaga sana hivi mkumbuke enzi hizo mlipokuwa mnatafuta ubavu wenu wa moyo ni vikwazo gani mlipitia mpaka mkakamilisha safari yenu?