Wanawake warembo hawanivutii kabisa!

Wanawake warembo hawanivutii kabisa!

Simple8

Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
41
Reaction score
37
Rejea mada tajwa hapo juu,

Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwa nini sivutiwi na wanawake mnaowaita warembo! Kwanza wengi wao kichwani siyo wazuri sana faragha ndo kabisaaaa!

Sijui wenzangu mmewahi kuexperience hii situation?
 
Hao warembo wana mazuri yao na kasoro zao pia. Hivyo chagua kile moyo wako unachoridhia nacho. Binafsi navutiwa na mwenye sura nzuri hata asipojiremba. Huwa sioni noma kutoka nae out, hachoshi haraka na pia akija kutotoa hataniletea mtoto mwenye sura kama nduli Iddi Amini.
 
Hilo

Hiyo muhimu sana maana huwa wanawake wazuri/wa kawaida wanafaa sana.hawategemei makeup!
 
Kweli hasa Wenye makalio makubwa ndio hamnaga kitu kichwani kabisaa nahisi kuna matamahuluku ya kwenye ubongo hukimbilia kwenye makalio nakuufanya ubongo kuwa mwepesi
 
Back
Top Bottom