Unafikiri ni kwanini uliachwa na mpenzi wako wa kwanza?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,270
40,080
We mrembo, unatabia nzuri, kila mahali ukipita watu wanakusifia, lakini mahusiano ni ziro. Unafikiri ni kwa nini uliachwa na mpenzi wako wa kwanza?

===
Unaweza pia ulikuwa handsome una tabia nzuri kila ukipita wanakusifia lakini mahusiano ni ziro. Unafikir ni kwa nini uliachwa na mpenzi wako wa kwanza?
 
Niliachana kwa sababu alinionea kijicho eti mimi nafaidi viziwa saa sita, kijungu cha wastani, naililia na kunyanyukia, napata raha kuliko yeye! halafu eti nitapata watoto wengi! kwa hiyo dada ake! mama ake! wakaona nafaidi mtoto wao! nilimpachika ka baby kazuriii, Bright afya tele! akazani huko atapata zaidi kumbe dororo!

Wakamtafutia mume! kumbe hajui kuzalisha, kikabaki kitoto changu tu kinatamalaki mpaka leo, ngoma sasa ndo kabisaa ntolee na anaelekea machweo . sababu alinizidi umri. mie ndo kumekucha! maisha hayaaa!
 
Tuliachana baada ya kumgundua analiwa na fundi redio na pia katoroka na simu yake huyo fundi redio. Toka hapo nikaweka pembeni
 
Niliachana kwa sababu alinionea kijicho eti mimi nafaidi viziwa saa sita, kijungu cha wastani, naililia na kunyanyukia, napata raha kuliko yeye! halafu eti nitapata watoto wengi! kwa hiyo dada ake! mama ake! wakaona nafaidi mtoto wao! nilimpachika ka baby kazuriii, Bright afya tele! akazani huko atapata zaidi kumbe dororo!

Wakamtafutia mume! kumbe hajui kuzalisha, kikabaki kitoto changu tu kinatamalaki mpaka leo, ngoma sasa ndo kabisaa ntolee na anaelekea machweo . sababu alinizidi umri. mie ndo kumekucha! maisha hayaaa!
Inabidi umrudie
 
Kisa kuwa na urafiki na madem.wengi
We mrembo, unatabia nzuri, kila mahali ukipita watu wanakusifia, lakini mahusiano ni ziro. Unafikiri ni kwa nini uliachwa na mpenzi wako wa kwanza?

===
Unaweza pia ulikuwa handsome una tabia nzuri kila ukipita wanakusifia lakini mahusiano ni ziro. Unafikir ni kwa nini uliachwa na mpenzi wako wa kwanza?
 
careless,ckuwa na time nae...full time niko busy na soka+Kubet...
Ila baadae sana ndo nikajitafakari na kujirealize kwamba nilikuwa na ujinga mwingi+utoto....😂😂😂.huyo ni chick wa kwanza kabisa,chick wa pili tuyaache tuu hiyo story haiwahusu baizewei....🙄😁
 
😂 elezea uyo wa pili in.short

Back
Top Bottom