Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 633
- 1,119
Kuna mahali ambapo nimekosea katika hilo?Mna umri gani jamani? Mbona ni mambo ya kitoto na ilhali ni wazazi nyie?
wewe mbona kama ms#ng# ms#ng# unamwandikia ujumbe wote huo wa mini
wakati wote sisi tunajua atarudi kwako huku analalamika
kaa kimya achana jifanye humjui kabisa akipiga simu muuulize nani mwenzangu
Yeah nakubali broInaonekana unampenda zaidi ya anavyokupenda. Ila anaonekana bado ni mtoto na wewe huna experience ya kuhandle wanawake.
Huwezi mwambia mwanamke yuko free kuja muda wowote hutarajii kuoa..unameonyesha ulivyokuwa huna thamani...know your worth jembe.
Huyo usimpokee tena..plan maisha yako upya mwanamke gani selfish namna hyo yani umhudumie mtt wake bado amwonee wivu? Bro mshukuru Mungu na uamini amekuepusha na kitu mbeleni.
Umekosea.Kuna mahali ambapo nimekosea katika hilo?
Sina umri mdogo
Asante sana.Wewe ni mwanaume.
Kaa kimya inaonesha unampenda huyo mdada.
Kwa maelezo hayo huyo dada anahitaji sana upendo wako, anahitaji sana faraja yako anahitaji sana attention yako lakini pia inaonesha hata matunzo na matumizi ya mtoto ni ya tabu(hapa mdada nae hajakomaa bado na hana busara kabisa alitakiwa akutie moyo upambane mlee mtoto)
Hana mwanaume wala nini anatikisa kibiriti maana anajua unampenda.
Hizo ni stress tu kuwa na kichanga bila kipato maalum na kama ulivyosema na wewe maisha ya kuunga unga.
Be a man simama imara huyo hatomaliza hata miezi 3 atakutafuta.
Sometime its uncontrollable, nahisi kosa ni kuacha emotions zitawale sana, najifunza kitu.Mwanaume unajibiwa ok unaendelea kuandika essay tatu tatu. Na mwanamke akiona hvo anakuona pimbi sana. Utajibiwa ok, k, p
Mtoto ana miezi minne, siwezi kumchukua akiwa na umri huo.Kachukue mtoto wako halafu hiyo pimbi ipige chini
Yeah nakubali bro
Nimekuwa nampenda ila nimeshachoka.
Nitajitahidi hisia zisinitawale mkuu.wewe mbona kama ms#ng# ms#ng# unamwandikia ujumbe wote huo wa mini
wakati wote sisi tunajua atarudi kwako huku analalamika
kaa kimya achana jifanye humjui kabisa akipiga simu muuulize nani mwenzangu
kanikera sana kipande hicho unambembeleza wa nini kashasema amepata mwengineMwanaume unajibiwa ok unaendelea kuandika essay tatu tatu. Na mwanamke akiona hvo anakuona pimbi sana. Utajibiwa ok, k, p
Inawezekana mkuu.Shida ni kipato.
Chanzo cha yote haya ni kipato.View attachment 1463227