Ukitaka ufanikiwe/uwe salama, mshinde (m-win) Mwanamke

Ukitaka ufanikiwe/uwe salama, mshinde (m-win) Mwanamke

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
783
Reaction score
3,666
Ninaposema kum-win mwanamke naamaanisha kumfanya akukubali, kama ni mtoto mu-win mama. Kama ni mume mu-win mke, kama uko kwenye ndoa mu-win mama mkwe

Kama ni mfanyakazi mu-win mke wa bosi (depending on the enviroment), kama uko ubalozini mu-win shemeji/wifi na madada wa kazi. Kama uko na mpenzi mu-win marafiki wa kike.

Hii tunaita the root of the root
 
Is it always necessary?

Mengine yatawatokea puani.
 
Wanakompuliketi mambo tu utafikiri unasovu Schrödinger equations. Unaweza kuwapenda hata paka wa marafiki zake na bado isisaidie kitu. Hakuna fomyulaaa [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
Anaanza kuwaendekeza marafiki wa dame. Huko Ni kujiweka kitanzi shingoni.
 
Mm theory yangu ni kuwa mwanamke hapendi mti legelege.

Ndio maana huwa nakuwa romantic at one time. Wakianza kuzingua ni mwendo wa kijeshi. Siombi tena.. nakuwa natoa orders.

Akikaidi nasogeza pembeni na recruit anae fuata orders. No times for games
 
dawa ya mtu ambae akipita maskani hasalamii muwin mkewe kudakek 😐😉
 
Mm theory yangu ni kuwa mwanamke hapendi mti legelege.

Ndio maana huwa nakuwa romantic at one time. Wakianza kuzingua ni mwendo wa kijeshi. Siombi tena.. nakuwa natoa orders.

Akikaidi nasogeza pembeni na recruit anae fuata orders. No times for games
Na hayo ndo maisha.mapenzi ukiyachukulia lelemamalelemama unakwenda na maji.safi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom