Wadau habari za majukumu
Kuna jambo linanitatiza sana katika kipindi hiki cha karibuni baina yangu na mke wangu. Yaani kuna msg zangu anazijuaa, sasa sijui anapata wapi, mfano jana kuna mdada...
Ndugu zangu!
Mwenzenu nilipokuwa kijana niliapa katu katu sitokuja kujaribu kufanya mambo haya matano!
Niliapa kutozaa watoto nje ya ndoa.... lakini hadi muda huu Leo nina watoto watatu nje ya...
Wasalam
Rafiki yangu mmoja alikuwa mzee wa totozi mawazo mgando akiamini kuwa nurse au daktari yoyote huwa hawapati HIV kwa vile ndio wataalam.
Akawa amempenda Nurse anayemzidi umri kidogo...
Nipo katika mahusiano huu ni mwaka wa 9 niko na mpenzi m1 ninayemhudumia kila kitu, lakini katika huduma ninazompa kuna huduma 1 ambayo nimemtamkia live bila kupepesa macho kuwa ifikapo tar 1 Jan...
Umesikia mkeo anatembea na Juma. Vuta picha mkeo akiwa anapigwa mashine na Juma then piga puchu. Fanya hivyo kila mara unapokumbuka kuhusu mkeo kutoka na Juma na kila unapo letewa taarifa za mkeo...
Ingawa nilikuwa sio me alikuwa rafiki yangu jamaa alikuwa kuadi haswa Tena wa maslahi tofauti na wengine wanafanya kishikaji nilikuwa nimesoma nae shule moja O' level na alikuwa anawajua mademu...
Wakuu habari za ijumaa hii njema, mu wazima wote natumaini.
Nina mpenzi ambae nipo nae muda mrefu sana kwenye mahusiano, kwa sasa mimi nimechoka kuvumilia ahadi za uongo kama mwanaume ,tumekaa...
HABARI NDUGU WALIMU, WAZAZI/WALEZI. NAOMBA NIWASHIRIKISHE KUMSAIDIA MAMA HUYU KUFANYA MAAMUZI SAHIHI JUU YA MAJANGA YANAYO MUANDAMA. SHUKRANI.
Mimi ni mwanamke wa miaka 54, mjane na mama wa...
Napatwa hamu sana, najua huwa wanakuwa na joto sana na wengine wanakuwa na nyege kinyama....
Sijafahamu huu ni ugonjwa au nini maana hali hii inanisumbua sana...nikimwona mja mzito natamani sana...
Hii ni kwa wananume na wanawake
Hali hii huwa inawakuta katika maisha ya mapenzi (uhusiano). Mapenzi yanatesa jamani, mapenzi yanaumiza, upendo usipotendewa haki unauma sana.
Naandika uzi huu...
NOTE: Mikoa yote na jamii zake ni bora katika upekee wao. Huu ni mtazamo wangu kwa kadiri ya uzoefu na ujuaji wangu.
KUPENDEZA/UREMBO:
1. Dar es Salaam
2. Tanga
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mwanza...
Wakuu habari zenu.
Nimekuwa nikimshangaa sana mke wangu kila tunapohitaji house girl anataka awe na sura mbaya na mwenye umbo lisilo na mfano na mara zote huwa najaribu kumuuliza ni kwa nini...
Wakuu kuna mambo binadamu unaweza kuyafanya mwisho wa siku ukajikuta unajuta kwa nini umetenda.Ni hivi kaka yangu alikuwa anaishi kinyumba na mwanamke mmoja, waliishi karibia miezi sita...
Wakuu juzi wife amesafiri kwenda kwao kuhudhuria mazishi atarudi Jumatatu
Sasa wife kaniacha mm na housegirl tu nyumbani kaenda na mtoto wetu mdogo. Tangu ameondoka kwa kweli Housegirl huyu...
Mchango wa mawazo jamani,
Kuna msichana nime-date naye toka niko Form IV lakini tukawa tunaishi mbalimbali, ikatokea siku nikaenda aliko yeye maana yeye yuko tu nyumbani na mimi niko Chuo sasa...
Habari za mchana Wana MMU.
Tukiwa tunaendelea kupambana na hili janga la Corona tunaamini ya kuwa Mungu atatufanyia wepesi na kuvuka katika hili.
Kilichonileta humu ndani ni Ushauri wa mawazo...
Kuwa na wapenzi wengi ni utumwa.
Ni sawa na mbwa kupigiwa miluzi mingi na kupoteza uelekeo. Ni sawa na mwanaume mmoja kuvutwa shati na wanawake watano n.k, mwisho wa siku shati linachanika na...
Ni wiki tatu zimeisha, mke wa jirani yangu aliingia geto kwangu ili nimrushie nyimbo kwenye simu yake. Alikuwa amevaa kanga moja, kakaa kwenye kochi wakati amekaa vibaya.
Nilipata hamu kali...
Kuna raha yake kunywa maji ya kisima kisafi, unakuta kisima hakina mautando juu, na nyasi pembeni simefyekwa vizuri.
Ukiangalia maji unaona hadi mchanga wa chininya kisima, yaani kisima...