Kuwa na wapenzi wengi ni utumwa

Kuwa na wapenzi wengi ni utumwa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,437
Reaction score
64,694
Kuwa na wapenzi wengi ni utumwa.

Ni sawa na mbwa kupigiwa miluzi mingi na kupoteza uelekeo. Ni sawa na mwanaume mmoja kuvutwa shati na wanawake watano n.k, mwisho wa siku shati linachanika na kubaki uchi huku wale wanawake wakikucheka ukiwa uchi.

Usipokuwa na msimamo kila mmoja atakuendesha anavyotaka. Ili kulikwepa hili kwa mabaharia ni bora uchape na uondoke na usirudishe majeshi, usiruhusu uhusiano wa kudumu; ni utumwa wa kifedha, kiafya na kifikra.
 
ha ha ha ha haya mambo yakuyumbishwa nimeshaanza kuona dalili zake mkuu; mchepuko kila baada ya masaa 2 anakutumia meseji...'unaendeleaje baby' bila kujua nina mambo mengine ninayofikiria familia yangu
Mshukuru Mungu sana maana una uwezo wa kubadilika kwa hiari. Umeshapona wewe
 
Unaposema uchape na kuondoka, ni tofauti na kuwapanga kwa foleni? Au utumwa unaouzungumzia hapa ni upi
 
Usisahau kuzimwagia vitakasa mikono na kuzimwagia maji tiririka hizo mbunye na ukimaliza kuzichapa zifunge barakoa.
 
Back
Top Bottom