Mpenzi wangu ana mimba ya mtu mwingine. Ushauri wako

Mpenzi wangu ana mimba ya mtu mwingine. Ushauri wako

Philly97

Member
Joined
May 22, 2020
Posts
10
Reaction score
9
Mchango wa mawazo jamani,

Kuna msichana nime-date naye toka niko Form IV lakini tukawa tunaishi mbalimbali, ikatokea siku nikaenda aliko yeye maana yeye yuko tu nyumbani na mimi niko Chuo sasa hivi na tukalala wote bila kufanya chochote ila sikujua kwanini ilikuwa vile.

Siku iliyofuata nikaondoka nikarudi ninakoishi ikapita wiki katika stori akanambia ana mimba nikamuulza imekuaje tena akanambia bahati mbaya tu ila nakupenda wewe. Nikamuulza ilkuwaje mpaka ukaamua kufanya hivyo jibu likabaki bahati mbaya tu.

Sasa mnanishauri vipi niachane naye au vipi lakini nampenda kweli.
 
Utoto raha sana aisee
Lea mimba hiyo siunapata bumu mzee?
Kitanda hakizai haram halaf pia watoto ni baraka kutoka kwa muumba
 
Lea mimba hiyo, siyo dhambi kama mwenzio akiotesha, wewe ukamsaidia kutunza na kuvuna..

Ndiyo mgawanyo Wa majukumu huo.
 
hongera
sasa utakuwa baba mlezi
 
aise hilo dushelel lako lilivoingia kwa mwana hawa ulitegemea litoe biah.vitu vingine unakaushia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona watu wa humu Leo asubuhi walikuwa ibadani!
Sikutegemea hichi ninachokiona!!!
 
Yani unaomba ushauri ili iweje kama unataka kulea mimba ya mwanaume mwenzako huku ukiwa unajua ni sawa tu sisi wengine tunalea tukiwa hatujui ila tukijua tunatimua
 
Wanafunzi wa vyuo mnatupa shida kusoma maneno yenu; au ndiyo uandishi mpya wa syllabus zenu!
 
Back
Top Bottom