Idhae
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 609
- 277
Ni wiki tatu zimeisha, mke wa jirani yangu aliingia geto kwangu ili nimrushie nyimbo kwenye simu yake. Alikuwa amevaa kanga moja, kakaa kwenye kochi wakati amekaa vibaya.
Nilipata hamu kali nikajikuta nimemparamia na yeye bila hiana akanipokea kwa mahaba nikagundua hajavaa pichu, tukaanzia kwenye kochi then tukahamia kitandani.
Kwa kuwa ilikuwa usiku saa 5 na mumewe alikuwa amesafiri, tuliinjoi hadi alfjiri.Sasa juzi mumewe kasafi, usiku kahamia kwangu.Licha ya kwamba nanogewa, naye pia kashafanya mazoea mumewe akisafiri huhamia kwangu.
Jamani hebu nishaurini, nifanyeje ili mumewe asije akajua.