Uzi maalumu kwa wale waliowahi kuwa makuadi

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,506
18,800
Ingawa nilikuwa sio me alikuwa rafiki yangu jamaa alikuwa kuadi haswa Tena wa maslahi tofauti na wengine wanafanya kishikaji nilikuwa nimesoma nae shule moja O' level na alikuwa anawajua mademu wengi pale shule na wengine nje ya shule.Masharti yake ya ukuadi yalikuwa Kama ifuatavyo

1.Akikupa no ya demu unamnunulia mihogo
2.Akikukutongozea demu mweusi unampa buku
3.Akikutongozea demu mweupe unampa buku tatu
4.Akikupa ghetto lake kwa ajili ya mambo yetu ni elfu 4.

Jamaa tulikuwa tunamwita Mr connection hiyo ilikuwa mwaka 2013 .Simu yake ilikuwa na picha nyingi za mademu anakuonesha wewe unachagua alafu mnaingia makubaliano kati niliyotaja hapo juu madomo zege wengi alikuwa wateja wake wakubwa.Jamaa alikuwa ana make hela nyingi Sana pale shuleni Kuna wakati anapiga mpaka elfu 50 kwa siku moja siku nyingine zaidi ya hapo.
 
Nakumbuka kipindi kile nilikuwa mjanja mjanja sana.. ila ni muoga wa kupindukia kwa madem..

Sasa kuna mshua flani akaomba namba zangu. Akanitaka tuonane. Bda ya vyakula na juice za kitonga Ndio mshua ananiambia kuna kazi nataka nikupatie..

Kuskiliza ni kazi gani. Kumbe kuna mrembo flani hivi mshua amefika bei. Sas kaniona mie ndio nafaa kwa kumuunganisha nae.. kuhusu pesa hakuna tatizo. Basi siku hiyo hiyo nikapewa20000 kwa ajili ya vocha ..

Mi nilichofanya, ni kumuambia yule demu. ' Oyah kuna mzee anakuelewa kisen**** na yuko na pesa ya kubadirishia mboga. Sasa usiniangushe.. '

Yule dada alikuwa hafanyi kitu bila kuniomba ushauri. Nami nikajikuta namla kimasihara..

Tukutane kwenye uzi wetu pendwa kwa kisa hiki cha kumla huyu dada kimasihara..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom