Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,315
1,186
Wakuu habari za ijumaa hii njema, mu wazima wote natumaini.

Nina mpenzi ambae nipo nae muda mrefu sana kwenye mahusiano, kwa sasa mimi nimechoka kuvumilia ahadi za uongo kama mwanaume ,tumekaa nae bila hata tendo la ndoa, maana amekuwa akikwepa nikimwambia kuhusu swala la kufanya mapenzi,wakati yeye akitaka vitu vyangu nimpe.

Kuna kipindi alinitamkia tuachane eti kisa mi simjali na baada yakuwa namsumbua kuhusu kunipa papuchi,na akanambia nikatafute wakufanya nae mapenzi ila si yeye.

Mwanaume nikamwambia isiwe noma kila mtu aendelee na life lake lakini baada ya siku kadhaa katuma mtu kwa ajili ya kuomba msamaha nimsamehe kwa yale maneno aliyotamka.

Kwa ufupi tu mpaka sasa sioni mwelekeo wowote kuhusiana na mapenzi yetu imekuwa mwendo wa kupigana tarehe tu.
Simwelewi au kuna jamaa linajilia mdogomdogo halafu mi nimekuwa wa kupangwa.

Nataka kutoa maamzi mbele yake kabisa ajue kuwa mi nijembe japo sijaona lango la mpinzani wangu.

Kama nikumvumilia nimefanya mi mwenzenu ndoto nyevu zinanitesa kila mara kuchafua pensi.

Ushauri wenu mabahari na wakuu wote kijana wenu nisije kuwa napoteza muda kumbe tunda wanavuna wahuni ambao hata hawana muda nae.

Bin Shaib Classic 2020.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom