Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,109
- 18,326
Kuna raha yake kunywa maji ya kisima kisafi, unakuta kisima hakina mautando juu, na nyasi pembeni simefyekwa vizuri.
Ukiangalia maji unaona hadi mchanga wa chininya kisima, yaani kisima kinakuongezea kiu mara dufu.
Sasa kuna visima kichwa ngumu, yaani hata ukitoka na makiu yako huko, kukiona tuu kiu inakataa. Kwanza nyasi zilivyo jaa huwezi kujua hata wapi pa kunywea maji, na hata kuiona shehemu yenyewe ina utandoo hadi maji yamebadirika rangi.
Umoja wa wanywa maji umeniomba nifikishe ujumbe huu kwa wamiliki wote wa visima.
Visima bora kwa afya ya wanywaji.
Hakuna raha kubwa duniani kama ta kunywa majinya kisima kisafi na kinacho tunzwa.