Je, unafahamu kirefu cha Mr and Mrs?

Je, unafahamu kirefu cha Mr and Mrs?

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Habari za jioni Ma Bibi na Ma Bwana, Yumkini katika safari yako ya maisha umewahi kukutana na haya maneno Mr and Mrs, Je ulishawahi kujua Maana/kirefu za/chake kwa kila neno moja?!

Karibu nikujuze, ujue na uwajuze ajuza!!

Neno:

"Mr" ni Matured and Responsible.

na

"Mrs" ni Matured Responsible and Submisive.


Mimi ni mtunzi na mwanagenzi wako bampami


Ahsante

SAVE_20200612_203553.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom