Kwa nini utumie nguvu kiasi hicho?

Kwa nini utumie nguvu kiasi hicho?

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Kuna wanaume wengine ni watu wa ajabu sana,anakutongoza kwa kutumia nguvu mno

Na kama hutomkubalia ataanza kukuchukia na wengine kukutolea mabango( Si ustaarabu kabisa)

Kutongoza kuna kukubaliwa au kukataliwa na mara nyingi sisi hupenda kwa hisia na tunatakiwa kupata muda ili kuruhusu hisia zetu zifanye kazi

Hivi umewahi kumtongoza mwanamke,ukajifanya hushoboki sana,ukawa unamtongoza kawaida,ila kawaida yenye kudhamiria halafu ukaacha kumfuatilia,baada ya siku kadhaa ukashtukia mwanamke anakutumia SMS mwenyewe?

Huwa tunafikiria kama mwanaume alikuwa serious au lah! Na je ni mvumilivu na vipi kama ana haraka ya kukubaliwa si anataka apate papuchi alale mbele,huwa ni mawazo ambayo huwa tunawaza,na tunapenda sana kujua ulikuwa na nani au una nani muda huo,uhusiano wako kwa wanawake ukoje,una wangapi? Hizo haraka zako mmmh!!

Hatupendi haraka za wanaume kwa sababu hatupendi kumuonyesha kila mwanaume uchi,unapochezea uchi wa mwanamke halafu unamuacha bila sababu maalumu huwa tunaathirka sana,na tunaumia sana

Sasa mwingine anakutongoza kama vita

Mlikuwa mnasalimiana baada ya kukutaa hakuna cha salamu tena,

Wanaume bwana!!
 
Tuko dunia ya utandawazi mwaka 2019 hakuna kubembelezana kwenye mtongozo , dunia ya kubembelezana ilishapitaga since 1999 kushuka chini,

Mwanamke huna Bikra na bado unataka kuringa kwenye mtongozo.
 
Kwa hiyo mnatakaje?
 
Sasa kama ushanilia hela zangu nyingi plus fake nyingi za kubabyka lakini mzigo kila siku wanizungusha na hapo hapo nishafaham kuna kidume mwingne anasimamia ukucha kwann nisikulotee mapovu
 
Unakuta mwanamke mchana mnapanga miadi ya kukutana jioni vizuri tu na anakubali kwa moyo mkunjufu mida ikifika simu yatumika,mara yaita haipokelewi,mara ghafla anakata ndo nini kwanini nisikutolee povu na uku nishawekeza hisia zangu
 
Ina maana ukitongozwa na wanaume 10 wote wakawa serious utawakubalia?
Punguza ujinga
Kuna wanaume wengine ni watu wa ajabu sana,anakutongoza kwa kutumia nguvu mno

Na kama hutomkubalia ataanza kukuchukia na wengine kukutolea mabango( Si ustaarabu kabisa)

Kutongoza kuna kukubaliwa au kukataliwa na mara nyingi sisi hupenda kwa hisia na tunatakiwa kupata muda ili kuruhusu hisia zetu zifanye kazi

Hivi umewahi kumtongoza mwanamke,ukajifanya hushoboki sana,ukawa unamtongoza kawaida,ila kawaida yenye kudhamiria halafu ukaacha kumfuatilia,baada ya siku kadhaa ukashtukia mwanamke anakutumia SMS mwenyewe?

Huwa tunafikiria kama mwanaume alikuwa serious au lah! Na je ni mvumilivu na vipi kama ana haraka ya kukubaliwa si anataka apate papuchi alale mbele,huwa ni mawazo ambayo huwa tunawaza,na tunapenda sana kujua ulikuwa na nani au una nani muda huo,uhusiano wako kwa wanawake ukoje,una wangapi? Hizo haraka zako mmmh!!

Hatupendi haraka za wanaume kwa sababu hatupendi kumuonyesha kila mwanaume uchi,unapochezea uchi wa mwanamke halafu unamuacha bila sababu maalumu huwa tunaathirka sana,na tunaumia sana

Sasa mwingine anakutongoza kama vita

Mlikuwa mnasalimiana baada ya kukutaa hakuna cha salamu tena,

Wanaume bwana!!
 
Unakuta mwanamke mchana mnapanga miadi ya kukutana jioni vizuri tu na anakubali kwa moyo mkunjufu mida ikifika simu yatumika,mara yaita haipokelewi,mara ghafla anakata ndo nini kwanini nisikutolee povu na uku nishawekeza hisia zangu
Hao watakuwa watoto wa shule
 
Mwache anune.. Huyo sio baba yako wala mama yako
 
Kwa hiyo mnatakaje?
Nipe nisepe[emoji23][emoji23] punguzeni mashauzi hata kama wanifikiria nijibu kwa ustaa na nyodo kibao na matangazo eti yule mbwa nae ananitaka[emoji38][emoji38] sio powa jamani kuweni na utu na star,kama nilivyokutokea kistaa na ww vivyo hivyo.
 
Ahahahahh[emoji38][emoji38][emoji38]. Kukataliwa kubaya sana. Alafu kutongoza ni kipaji pia ukispecialize na kupata certificate sio rahisi kukataliwa mara kwa mara
 
Back
Top Bottom