Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,573
- 3,758
Wanawake wakikaa pamoja kwenye mazungumzo yao stori zinazotawala ni kuhusu wao wenyewe (kusengenyana). Pili kuhusu wanaume mwisho kabisa kwa uchache kuhusu maisha na jinsi ya kujiongezea kipato.
Wanaume zinatawala stori kuhusu maisha na jinsi ya kujiongezea kipato, pili kuhusu wanawake, mwisho kwa uchache kuhusu wao wenyewe kusengenyana
KUNA UKWELI WOWOTE KUHUSU HILI?
Wanaume zinatawala stori kuhusu maisha na jinsi ya kujiongezea kipato, pili kuhusu wanawake, mwisho kwa uchache kuhusu wao wenyewe kusengenyana
KUNA UKWELI WOWOTE KUHUSU HILI?