Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unakuta mume unamfulia,mpikia,kumung'arishia nyumba na wewe unawaka kama nini baadae nikiwa namuandalia chakula nikasikia simu yake inaita. Kusikiliza ni mchepuko. Haloo. Binti mbona...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakuu. Poleni na mihangaiko na corona pia...Mola atusaidie kuvuka hili jaribu. Mimi napenda sana mapishi.Na home wanalijua hilo. Napenda sana kula vitu vizuri. Navutiwa sana na mwanamke...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Wanawake hili fursa yenu mjifunze mapenzi yadhati sio mapenzi ya kupenda pesa kuliko kumpenda mtu au mwanaume anaweza akatokea ukapendana naye lakini kutokana na kutoeleewa dhumuni au jambo muhimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya. Kiukweli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa unakuta mwanamke yupo bize na dressing table muda wote anajipodoa ila kupika zero Mwanamke ana makucha marefu hayakati huo ni uchafu. Jifunze kupika, nenda YouTube ujifunze kupika chakula...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kila mmoja ana namna yake ya kupenda. Mimi yangu niwe na mrembo muda wote tu, nikikupenda hata sipitii kijiweni moja kwa moja home, mengine nyongeza. Nilishakutana na mwanamke ambaye kwake...
11 Reactions
215 Replies
13K Views
Katika hali isiyo ya kawaida kabisa Jana jioni katika Vichaka vya iliyokuwa Tanganyika Packers Kawe aliokotwa Mtoto wa kati ya miaka Miwili hadi Mitatu wa Kiume akiwa ametelekezwa hapo na Mama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila mtu ninayempenda nahisi ananidanganya, inafika hatua naona bora nibaki single tu. Kwani kina Lipumba hawapo? Mbona wapo single. Najiuliza kwanini nipende wakati naowapenda wanaliwa na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Eee Bhana eee..! Hii imekaaje wakuu, kwanza habari za jumapili? Kwa wale mlioenda kanisani mtuombee na sisi tupende kwenda uko maana tupo tupo tu..! Sasa stori ni hivi ..juzi kati apa katika mishe...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Mtoto ni zawadi.Ndiyo alama yako utakayoacha hapa duniani. Hizo mali utakazoacha zitagombaniwa zitaisha.Ila jina lako atabaki nalo wewe na atalitumia kwa mjukuu wako kama jina lake la tatu...
17 Reactions
88 Replies
6K Views
πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’” Kamwe usiombe ama kulazimisha mtu abaki na wewe kwenye maisha yako kinyume na matakwa yake. Kumuacha aende kunakufungulia milango ya watu bora zaidi kuja kwako. Maisha ni mafupi mno...
8 Reactions
21 Replies
6K Views
Wapendwa wangu wana jukawaa salaam. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mahusiano ya kimapenzi na ndoa kuvunjika hasa kwetu vijana, kugombana, kutofautiana, kupishana maneno ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi, unampikia,unamfulia nguo, halafu kwa unampa na mapenzi moto moto unajikunja mwenyewe kwenye sex mtoto wa watu viuno feni mwenyewe na...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
MSICHANA Blandina alisikika akiwalaumu majirani zake kijijini huku akilia machozi, akisema, "Jamani mngeniambia mapema nisingekuwa hivi sasa. Lakini mkaniacha tu jamani mimi nawalaumu nyie kwa...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33' kutokana na changamoto za mahusiano na mabinti below 30 kuwa kubwa nimeona sasa ni wakati wa kutafuta same age or above mwenye mapenzi ya dhati. Mabinti...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu hbr za kaz Niko mbele yenu tena kuomba ushauri juu ya hii ndoa yangu, maana inanipa wakati mgumu mno. Mm ni mama wa watoto wawili, nimeolewa miaka8 iliyopita, niliolewa nikiwa miaka 18 na...
9 Reactions
259 Replies
37K Views
Inakuwaje pale uko kwenye ndoa yako ya miaka kadhaa huku mkiwa na watoto, baadaye inatokea ugomvi mnaamua kuachana na mke/mme wako mliyepambana naye kwenye shida mpaka hapo ulipofikia kwenye hatua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana JF? Nadhani niliwaletea mkasa wa mimi kugombana na boyfriend wangu kiufupi nilitambulishwa na nilifahamiana na mama mkwe na ndugu wote wa ex boyfriend wangu pamoja na wao kuwafahamu...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari za sasa wana JF MMU. Nikiri kuwa ukifatilia stori za hapa na pale zinazopostiwa humu JFs utagundua kuwa wanaume wa humu wengi wamejaaliwa, wananemeka, wanabahati, wana mazali ya kufa mtu...
15 Reactions
170 Replies
13K Views
Nilikuwa na mwanaume ambaye tushaachana kwa sasa, tulibahatika kupata mtoto mmoja tuliachana katika ugomvi flani tulirushiana maneno mengi mengi ila sio matusi wala sio kashfa ni ya kawaida tu...
1 Reactions
83 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…