Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini za siku ndugu zangu, poleni na majukumu ya hapa na pale, Baada ya kuleta uzi kuusiana na maswahiba ya mpenzi wangu kubadilika ghafla, na kwa upande wangu kujaribu kujua kinachomtatiza...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Kitendo cha wazazi kufurahia shule kufunguliwa huku wakisema maneno mfano:- "afadhali watuondolee usumbufu nyumbani". .. Hii inaonesha wazi kabisa leo wazazi kuwapeleka watoto shule ni kukwepa...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, wakubwa kwa wadogo... Natumai mko poa na mnaoumwa Mungu awajalie unafuu ikawe heri Naomba niende moja kwa moja kwenye mada Nina swali ambalo nahitaji majibu na ufafanuzi...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Haka ka kasumba ninako mda mrefu kidogo, sijui huwa nakwama wapi. Bwana kama mwanamke hayuko akilini mwangu nkimpiga saund naeza mpata hata siku hiyo hiyo. Ila Kama Dem namkubali, duuu balaa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nahamisha kambi kwa wazee wenzangu. Hii ni kutokana na ka usumbufu ninakokapata kwa hawa watoto (kwangu) Heri nipambane na wazee wenzangu kwenye moja na mbili hukoo.
20 Reactions
295 Replies
17K Views
Ukinipinga pinga kwa hoja. Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa, Newton na uwezo wake wote...
7 Reactions
189 Replies
26K Views
Mimi ni kijana ambaye niko kwenye ndoa naelekea mwaka wa pili sasa. Kama kawaida kwenye ndoa kuna milima na mabonde ya kupitia, na pia kwenye ndoa kuna Raha na karaha. Ila kwa Mke wangu kila...
10 Reactions
106 Replies
13K Views
Habari wadau, Naenda moja kwa moja kwenye hoja. Nakumbuka zamani sana wakati bado yanki Babu na Mama waliwahi kusema kuwa kama mwanamke ana mimba na halafu zimebaki siku chache kujifungua ukaona...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimefunga ndoa na mke wangu, changamoto huja pale ninapo mshauri jambo ana panic na kubamiza mlango na kutoka nje. Huwa na hasira na kuwakawaka sana, yaani huwa ninajiuliza mimi ni dhaifu kiasi...
59 Reactions
214 Replies
21K Views
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya. Kiukweli...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni tumaini langu kwamba wana JF mtakuwa mpo swalaama, hata mimi new member humu ndani ila ni new member kiusajili tu, naweza sema sababu nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa threads za JF toka enzi...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Natumai hamjambo wakuu Jana nikiwa katika harakati zangu za hapa na pale nilikutana na dada mmoja matata wa age ya 27-30, nikawa nimemwelewa sana nikaomba tubadilishane contact akakubali but...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Kuna mdada alikutana na mkaka wakati wako safarini yule kaka akamuomba mdada namba ya simu njiani akamnunulia kila kitu alichotaka, alipofika stand mkaka akamlipia usafiri mpaka home kwao. Basi...
10 Reactions
178 Replies
20K Views
Katika mafundisho ya jamii, jamii za zetu zote zinamtaarisha mtoto wa kike kuwa mlezi wa familia. Kuondoka nyumbani kwa mtoto wa kike ni kukabidhiwa kwa mume. Mume huyu anakua ndiyo mtu wa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama tangazo linavojieleza, mimi nikijana mwenye umri wa miaka 28 nipo Mkoa wa Mbeya, Wilayani Chunya elimu yangu ni Degree ya Ualimu Physics and Mathematics, sijaajiriwa najishughulisha na kazi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Tuambizane umeoana na mtu mpaka sasa mmeaminiana miaka mingi , halafu suddenly mtu anaushahidi kuwa mmeo ni anahusika na vitu vya kishirikina Akakupa ushaidi na huo ushaidi unakuaminisha. Na...
0 Reactions
83 Replies
6K Views
Anahela nyingi ila unampa unataka ujiaminishie nini? Anakudharau kisa unamhanya eti mapenzi yake ni matamu? Unamuita majina ya mapenzi yote na wala hakufagilii, hadi lini lakini? Hakupigii...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Natoa angalizo tu. Siku hizi wanaume wanajisahau na akina mama wanachukua fursa! Atajifanya anakupenda, atakuwekea chakula kwenye hotpot yako na wewe utaona anajali, kinachofanyika ni kwamba...
7 Reactions
48 Replies
6K Views
Natumai hamjambo wakuu. Wakuu nimejikuta nina huu ugonjwa ambao hata sijui umetokea wapi, yaani nimejikuta navichukia vitu karibia vyote vinavyopendwa na wadada, mfano viepe (chipsi), matumizi ya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Huu ni ushauri kulingana na mtazamo wangu. Katika hili swali watu walio wengi hukosea pasipo kufahamu nini hasa hasara zake. Binadamu wengi sisi sio wakamilifu sana wala sio watenda mema sana...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…