mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Haka ka kasumba ninako mda mrefu kidogo, sijui huwa nakwama wapi.
Bwana kama mwanamke hayuko akilini mwangu nkimpiga saund naeza mpata hata siku hiyo hiyo. Ila Kama Dem namkubali, duuu balaa linaanzia hapo.