Je, ukiambiwa mume wako ni mchawi utachukua hatua gani?

MysweetL

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
314
340
Tuambizane umeoana na mtu mpaka sasa mmeaminiana miaka mingi , halafu suddenly mtu anaushahidi kuwa mmeo ni anahusika na vitu vya kishirikina

Akakupa ushaidi na huo ushaidi unakuaminisha. Na anayekupa huo ushaidi ni mzimu kakutokea what will you do?
 
Mzimu unaweza kukwambia ndiyo lakini inaweza isiwe kweli pia, ni roho zidanganyazo pia, za uharibifu mara nyingi ancestor spirits(mizimu) zinafanya kazi na (spiritual husbands/wives) hawa huwa hawapendi ndoa ( ni maadui wa ndoa) so yaweza kuwa technique ya kuharibu ndoa!

Lakini pia wewe mwenyewe lazima ungeshaona dalili za kishirikina before je zipo? Zipi?
 
Je kama huo mzimu unataka kukuharibia ndoa yako? Umejiuliza hilo. Je kama ni jini katumwa na mchepuko wa mumeo umuache? Tumia akili
 
Na wewe unaamini mizimu ? Unaamini hii fantasy ya mtoa mada inaeza tokea ?

Back
Top Bottom