Miujiza niliyoambiwa na Babu imetimia leo, mpaka sasa nimeamini

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari wadau,

Naenda moja kwa moja kwenye hoja.

Nakumbuka zamani sana wakati bado yanki Babu na Mama waliwahi kusema kuwa kama mwanamke ana mimba na halafu zimebaki siku chache kujifungua ukaona chura jua unazaa mtoto wa kike.

Leo natoa ushuhuda huu sababu mke wangu kabla hajajifungua majuzi tulikuwa tumekaa chumbani Mara gafla tukamuona chura ndani ya chumba tena katika mazingira ambayo ni ya mashaka sababu toka nimehamia kwenye Ile nyumba now no mwaka wa pili sijaona chura chumbani Ila juzi nikamuona.

Ukweli nilishangaa sana nikakwambia mke wangu Mungu akipenda utajifungua mtoto wa kike akabisha.

Leo Mungu kasaidia kajifungua salama mtoto jinsia ni wa kike kitu ambacho kinafanya mpaka sasa niamini maneno ya wazee wangu.

Pia ningependa niwashauri kuwa tuwe Makini na elimu walizokuwa wanatumia wazee wetu na tusipuuzie kama mzee wako aliwaambia usifanye hichi ni kibaya acha kama alikwambia fanya hichi ni kizuri fanya.
 
CHURA yaani matak makubwa.
kumbe snura hakukosea.
Samahani lakini
 
Habari wadau

Naenda moja kwa moja kwenye hoja

Nakumbuka zamani sana wakat bado yanki Babu na Mama waliwahi kusema kua Kama mwanamke ana mimba na alafu zimebaki siku chache kujifungua ukaona chura jua unazaa mtoto wa kike

Leo natoa ushuhuda huu sababu mke wangu kabla hajajifungua majuzi tulikuwa tumekaa chumbani Mara gafla tukamuona chura ndani ya chumba tena katika mazingira ambayo ni ya mashaka sababu toka nimehamia kwenye Ile nyumba now no mwaka wa pili sijaona chura chumbani Ila juzi nikamuona.

Ukweli nilishangaa sana nikakwambia mke wangu Mungu akipenda utajifungua mtoto wa kike akabisha

Leo mungu kasaidia kajifungua salama mtoto jinsia ni wa kike kitu ambacho kinafanya mpaka Sasa niamin Maneno ya wazee wangu

Pia ningependa niwashauri kuwa tuwe Makini na elimu walizo kuwa wanatumia wazee wetu na tusipuuzie Kama mzee wako aliwaambia usifanye hichi ni kibaya acha Kama alikwambia fanya Ichi ni kizuri fanya
Huyo babu yako mwanga naona kaja kukupongeza kwa sura ya chura.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom