Tahadhari kwa wanaume waliooa: Usikubali mkeo akuwekee chakula cha peke yako, kimejazwa madawa kukufanya msukule na zezeta

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,661
Natoa angalizo tu.

Siku hizi wanaume wanajisahau na akina mama wanachukua fursa!

Atajifanya anakupenda, atakuwekea chakula kwenye hotpot yako na wewe utaona anajali, kinachofanyika ni kwamba, chakula hicho kimewekewa madawa ya kichawi na kishirikina yakiwa na manuizi kukufanya wewe msukule na zezete na chuma ulete, kazi yako iwe kumlisha Huyo mwanamke na kaka zake, dada zake, wakwe zako.

Asilimia kubwa ya wanaume waliooa ni misukule inayotembea,chunguza utaona!

Usiwe na ratiba rasmi ya kula nyumbani, wala kurudi nyumbani,itakula kwako!
 
Usiwe na ratiba rasmi ya kula nyumbani,wala kurudi nyumbani,itakula kwako!


Kama huna ratiba ya kula nyumbani, sasa ukale wapi??!; je kila siku utakula nje ya nyumbani??!----huoni kwamba hapo utakuwa unakaribisha nyumba ndogo??--na usipokula nyumbani huyo mkeo atakuelewa vipi??, si ndiyo utamfanya ahangaike zaidi kukudhibiti kwa madawa akidhani kwamba umerubuniwa huko nje na viruka njia !!.
Na hata usipokula chakula anaweza kukuwekea sehemu zingine usizozijua.

Mbele ya wanawake wanaume hatutambi na hasa akishakuwa mkeo.

Ukikataa kula chakula cha kawaida, je utakataa pia kula kile chakula kikubwa cha chumbani??!!, na hapo ndipo huna ujanja kaka,🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom