Trial balance
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 202
- 160
Nilikuwa na mwanaume tuliachana akanipa masharti ya kutomtafuta wala kumtumia message akidai ataziona mwanamke aliyenaye sasa na ilishawahi tokea nikatuma text kwake mwanamke wake akaanza kunipa vijembe nikaamua kuacha ila niliumia sana mana yeye mkorofi kanichukulia ma X japo tuligombana lakini tungeweza suruhisha na kuendelea na maisha yetu.
Tumebahitika kupata mtoto mmoja, nikaendelea kufata sheria zake kwamba nisimtafute. Kuanzia wiki ilopita akaanza nitumia text kwamba amenimic, nikamwambia nimemmic pia nikapotea kwa mda akaniuliza nimekua adim mtandaoni kwanini nipo kimya katika kuchat? Akaanza nitumia picha zake nyingine ajavaa shati nyingine kavaa nikamsifia picha ziko poa kapendeza pia. Akanambia ana mawazo sana nikamliwaza kwa kumtumia baadhi ya nyimbo still nampenda.
Je, kupitia haya unaona nini kipo kichwani mwake? Maana hajawahi nitamkia turudiane ila akanambia tu anahisi nishapata mtu mwingine nikamwambia hapana na bado hakuamini akidai namficha.
Maoni yako muhimu ila hatujarudiana hadi sasa.