Msipokubaliana vizuri ukimtafuta mwenza kwenye mitandao, ndoa yako itavunjika kwenye mitandao

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,708
Tahadhari,

Sio vibaya mpenzi anapatikana popote lakini kuna baadhi ya mazingira yatakuja kuakisi hatima ya maisha yenu hapo baadae.

Chukulia mke umempata bar ulipoenda kupata moja baridi moja moto matatizo ya maisha yenu yataanzia uko bar maana wote mtakuwa walevi.

Hata mkikutana kwenye mitandao ndoa yenu itakuwa inashauriwa mtandaoni hao unknown members ndio watabeba hatima ya mahusiano yenu kila mmoja ataomba kushauriwa kule alikokupata madhara yake ni mwakubwa.

Ukimpata mpenzi mtandaoni muwekeane misingi imara ya kutatua changamoto zenu bila kushirikisha tena mtandao iyo iwe siri yenu.
 
Kama mlipatana msibani mapezi yenu yataishia misibani

Kama mlikutana kanisani maisha yenu yataishia huko maana nyie ni kuomba kila mara

Kama mlikutana harusini mapenzi yenu yataishia harusini maana nyie mtaifaham kila harusi

Kuna matokeo mengine hutokea baada ya miaka kadhaa kam febliary29 hivyo mkianzia huko bas hamtoachana maana huenda tukio lisijirudie.

Kama mjomba wangu alimpata mke wake kwenye semina ya ununuzi wa pamba kampun ya nyanza. Hawatoachana maana kampuni ilishakufa na semina hazitakuwepo milele si ndo hivyo mtoa mada.
 
Kama mlipatana msibani mapezi yenu yataishia misibani

Kama mlikutana kanisani maisha yenu yataishia huko maana nyie ni kuomba kila mara

Kama mlikutana harusini mapenzi yenu yataishia harusini maana nyie mtaifaham kila harusi

Kuna matokeo mengine hutokea baada ya miaka kadhaa kam febliary29 hivyo mkianzia huko bas hamtoachana maana huenda tukio lisijirudie.
Kama mjomba wangu alimpata mke wake kwenye semina ya ununuzi wa pamba kampun ya nyanza. Hawatoachana maana kampuni ilishakufa na semina hazitakuwepo milele si ndo hivyo mtoa mada
😂😂😂😂😂
 
Mkuu nimesema kuna baadhi ya mazingira nikimaanisha sio yote. 😂😂😂
 
Mkuu nimesema kuna baadhi ya mazingira nikimaanisha sio yote.
Kwa nini iwe baadhi. Hayohayo baadhi kuna watu wanaenda kwa baadhi ya siku. Mfano mi nilishawahi kutana na mpenzi mmoja ufukweni nimeenda kubariZ. Ila ilikuwa ni tukio la kwanza nalamwisho kwenda huko.
 
Vizuri umekubaliana na mada.
 
mtazamo tu mbona mm mke wangu nimempata yahoo messanger....alikuwa europe na mm south africa then tukagundua wote watanzania, tupo bongo na ndoa miaka 12 sasa raha mustarehe.
 
hongera iyo ni misingi imara muliojiwekea ndio iliyodumisha ndoa yenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom