kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,417
Jana nilivuta demu geto, so tukaangalia movie then nikaenda zangu kuoga ili nijiandae na kulala. Wakati wakulala Mimi huwa hutumia dakika 3 tu nakuwa nimesha maliza, akauliza ndo nini mbona unawahi hivi? Mimi hujaniridhisha, nikamjibu kuwa hilo si tatizo langu ni lako, jiulize kwanini unachelewa kufika.
Akanishauri eti nitumie dawa huenda nina tatizo, mimi nikamjibu yeye ndo atumie dawa siyo mimi. Mimi niliwahi kufika na nilichopanga kitokee kimetokea. Nikamuuliza tena kuwa, kwani wewe ukiwa unaenda safari ni vizuri kuwahi kufika au kuchelewa? Akajibu ni vizuri kuwahi kufika, nikamwambia hilo ndo jibu na akachunguze afya yake.
Akaanza kunishutumu zaidi, kwanza nimekuja nimeikuta imetulia tu. Nikamwambia ndiyo wala kujakosea ila ilikuwa jukumu lako kufanya ichangamke, ungeshindwa ningelala tu na wala aibu isingekuwa Yangu, bali yako wewe, gari lazima liwashwe haliwaki lenyewe. Akasema ataenda kuntangaza kwa marafiki nikamjibu nenda nitakuja kujitetea