Trial balance
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 202
- 160
Jamani najikuta nipo kwenye mahusiano ambayo ni haramu kwa sasa hayafai ata kutambulisha ndugu. Nimepata mwanaume mwislamu jamani japo ana mapenzi yote ila ili, suala linanipunguzia hata hisia za kimapenzi katika mwili japo nikimuona uwa nafurahi sana.
Yaani sipendi ipite siku nisimwone, tukionana napenda kumfanyia matani yaani kumpiga vingumi kwa mbali vya kimahaba katika mwili wake. Siku za mwanzoni nilikuwa nikimwangalia tu usoni nishalowa yaani alikuwa ananipa hisia sana ila hii dini jamani inanifanya nimpoteze ninayempenda.