Wake za watu kuhujumu ndoa zao chanzo ni nini?

pasi padinde

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
282
299
Tuzungumze

Hivi wake za watu wawe matajiri au masikini, wawe wamesoma au hawajasoma, weupe au weusi, wanasali na kuswalia au hawasali, vijana au wazee wamekuwa katika usaliti mkubwa sana

Hivi tatizo ni nini haswa?
Je, kuvunjika maadili?
Tamaaa?
Hawatoshelezwi?
Hawajafundishwa?
Nini tatizo
 
Kutegemea vitu as if ndio maisha wanasahau what if Question? Kwenye ndoa.
What if kesho utajiri ukaisha?
What if pesa hakuna?
What if mume ni tasa?
N.k
Lingine wanajaribu kuishi maisha ya kuigiza jambo ambalo ni hatari sana.
-Kuwa na marafiki wengi wanafiki.
-Kutofunzwa na wazazi
-Kukosa uwelewa wa kuchambua jema na baya.

Huku sura na makalio ikiwa mbioni kuwa peleka wanawake kwenye ndoa tabia imekuwa mbioni kuwarudisha makwao.

Wazazi kama una watoto tenga muda wa kukaa kuongea nao iyo kazi unayo jifanya uko bize sana siku unaondoka duniani unatuachia mzigo usiofaa hata kuifadhiwa popote.
 
Barikiwa that is big point you have mentioned.
Trent ni kubwa sana ya uvunjifu wa maadili
 
Wazee wetu walijua udhqifu wawanake ni ulimbukeni hivyo walifanya kila jitihada kumficha mwanamke dhidi ya mambo yanayoweza kumfanya kuwa limbukeni lengo nikulinda jamii.

Hamna kiumbe bingwa wakuiga nakuchukua ushauri bila ya kufikiri km mwanamke hivyo basi wao walikuwa km wanazuia wanawake wasiwe exposed na mambo ya ajabu...mitandao ya kijamiii inaweza kuwa ni tatizo kubwa kuliko tunavyodhani.

Mwanaume alifichwa mambo yanayomasisha tamaa ya ngono ila mwanamke kuna mengi ya kumlinda nayo.

Kwa mfano ukichukua mwanamke akaenda saloon ya wanawake wambeya kwa miezi sita mfululizo inatosha kabisa kuanz kuona vitabia vya ajabu kwake.

Hii ni vita kubwa sana ila mwisho wake ni Kuoana itakuwa ushamba tena mwanaume ukioa utaonekana bwege kwelikweli,mda utasema.
 
Kweli mkuu ujumbe huu unajitoshereza
 
Lawama zimezidi dhidi ya wanawake Kuna shida gani na kizazi hichi.
 
Back
Top Bottom