Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,598
- 65,049
Mahusiano mengi yanavunjika kutokana na kutokujua nini kinatakiwa kwenye mahusiano. Wengine wanaamini kuwa kwenye mahusiano ni kuvaa sare, kuwa kwenye usafiri mmoja, kuwaaminisha watu wa nje kuwa tupo kwenye mahusiano n.k. Na kutokana na kuamini hivyo inapelekea mahusiano mengi kuvunjika ndani ya kipindi fulani.
Tunatakiwa tuamini kuwa kichocheo kikubwa cha mahusiano ni tendo la ndoa, kama tendo halitafanyika vizuri kuna asilimia kubwa uhusiano ukayumba au ukatikisika na ikishindikana kabisa unavunjika.
Sasa ni vizuri kujibiidisha pale unapokuwa na mwenzako ndani ya kumi na nane, hakuna haja ya kuoneana aibu, we piga, bamiza unavyoweza. Katika haya mambo hakuna ustaarabu wala kuoneana aibu, vile viungo vimewekwa ili vitumike.
Bila kujishughulisha ipasavyo, jiandae kusaidiwa.