Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ingawa siko vizuri kiuchumi, ila nadhani hata nikipata tsh billion 100 sahiv, bado sitaona mke wa kuoa, hizi ndo changamoto ninazokutana Nazo 1) Namtongoza mdada, baada ya cku mbili nagundua huyu...
10 Reactions
46 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania,nina umri wa miaka 26, ninaishi Mbeya kwa sasa na ni mkristo kwa dini, elimu yangu ni ya chuo(degree), sina kazi bado naangaika na maisha najishughulisha na shughuli...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Jamani kama mnavyojua mambo ya chuo kuna mtu naona tu ananikera ujue Mimi Nina mastress yangu yani huyu ninayelala nae Dom moja mda wote na kila siku kazi yake kuvaa nguo niwe namthaminisha kama...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Im 27 married man but unhappy and looking for someone who would like the attention of a laid back mature man to have an adult friendship respecting each other and our personal lives as well...
9 Reactions
225 Replies
13K Views
Ilikuwa siku ya jana,jamaa angu fulani ambaye ni baharia alipatwa na mkasa wa kugonganisha wao wanaita kazi yaani mademu wawili tofauti na kilichompata hadi leo hamu hana. Jamaa alispend night na...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Bila shaka wote mnaendelea vizuri na majukum yenu Mimi nina taka kujua mapenzi ni nini? Kwasababu nikipata mgegedo baadaye kidogo naanza kujisikia sina amani, roho inauma, hapa kwenye moyo...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna wanandoa wengi hawaungani kindoa ili kuwa mwili mmoja, yaani umoja au ushirikiano wa kimaisha katika familia, bali huunganishwa na sifa au vitu alivyonavyo mtu. Unaoa au kuolewa na fulani...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Goodmorning. If you can't fly, Run. If you can't run , walk. If you can't walk, crawl. But by all means KEEP MOVING You don't always need a plan. Sometimes you just need to breathe, trust, let...
18 Reactions
126 Replies
7K Views
Wanajukwaa natumaini wote wazima wa afya. Sasa twende kwenye mada husika. Mada hii ni special tu kwa ambao hatuna watoto[emoji23] Je, kwa zama hizi za science na teknolojia unapenda mtoto wako...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Hello habarini wakuu. Wasalaam Ni mekua nashindwa kumwelewa uyu mtoto wa kike kwamba anahitaji nini hasa. Iko hivi wana JF ni takriban mwezi wa pili sasa nipo likizo dodoma baada ya mikasa ya...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Nyota nzuri ya mahusiano mara nyingi huonekana mwanzo wa mahusiano, enyi wanaume wenzangu ukijichunguza vizuri, utagundua kuwa wale wadada uliowatongoza, halafu wakakukubalia haraka na wakakupa...
22 Reactions
63 Replies
9K Views
Hiki kitu ni hatariiii sana. Yaani kisikie sehemu tu..usijaribu. Daah Ngoja nitaendelea kuandika
8 Reactions
129 Replies
29K Views
Happy fathers day... Kwa wale mlioa, tunaokaa na wachumba zetu au wapenz zetu kuna mada hii inatuhusu. Eti kuna haja ya kuacha pesa ya matumizi kwa mkeo/mpenzi kama ndani kila kitu kipo? Mfano...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada, kuna binti nimemuona ni bubu nahitaji nimnusuru kwa maana ya kumuoa. Kuhus mawasiliano nashukuru tunaelewana japo kwa ishara japo ndio hivyo ni mwendo wa...
7 Reactions
50 Replies
6K Views
Natumai hamjambo wakuu. Wakuu mimi nina kawaida ya kuuza mechi kila napokutana na pisi kali niloielewa kupita kiasi, katika kuuza kwangu mechi mara kadhaa nimekutana na mafundi wakuzungusha uno...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Mke wangu haniamini hata kusimama tu na mwanamke yeyote kupiga stori zozote hiyo ni marufuku kwangu. Ushauri tu ndio shida yangu ndugu zangu
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Jitahidi sana kwenye maisha yako uwe na mwanaume/mwanamke wako pale ukitaka kuwa na familia, kamwe usikubali kuambiwa kuwa peke yako unaweza hamna hicho kitu na ndio maana hata kwenye kuumbwa...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu habari? Kuna tangazo jipya la mtandao wa TIGO naliona wiki kadhaa sasa likimuonyesha mwanaharakati mmoja akiacha 10,000 kwa mkewe/mpenzi wake na akimuelewesha kuwa ndio kiasi alichonacho...
23 Reactions
81 Replies
17K Views
Wakuu najua wengi tumekutana na situation ya kubishiwa hodi tukiwa mchezoni. Je, kwa upande wako ulifanyaje ilipotokea? Ulikatisha mchezo or uliendelea mpaka ukamaliza game?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mke wangu haniamini huwa anadhani nikichelewa nyumbani nje ya saa mbili usiku anajua niko nyumba ndogo. Ushauri jamani
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom