Maneno ya huyu mzee kuhusu ndoa yana ukweli?

Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Wakuu bila shaka hamjambo!

Kuna mzee kaniambia kijana siku hizi ndoa zenu mkigombana mwezi unaisha hamjapatana. Hii ni ajabu sana. Nikamuuliza kwa nini mzee, akasema tatizo ni aina ya nyumba na vitanda mnavyotumia, sisi zamani tulijenga nyumba yenye vyumba vilivyotosheleza wanafamilia hakuna chumba za ziada wala cha wageni, mgeni akija alikuwa anapishwa au analala na wenyeji. Mkigombana usiku mnajikuta mnaelewana tu.

Akaendelea kusema, vitanda vyetu vilikuwa vyembamba yaani upana usiozidi 3½ kwa 6 kwa hiyo mkigombana ni rahisi kuyamaliza usiku wake maana mpende msipende mtaamshana hisia tu.

Sasa hivi kitanda 6×6 mkigombana ni kama mnaishi vijiji tofauti, Mara atoke chumbani akalale chumba kingine. Ajabu sana!

Eti wakuu hii ina uhusiano wowote?
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
40,983
2,000
Pia nadhani hiyo yote ilichagizwa na aina ya maudhi waliyokuwa nayo kipindi hicho na sio hawa wanaume wa sasa wa Kidigitali yaani ukijaribu kununa tu basi ujue imekula kwako yaani bila kujishusha mwaeza maliza hata nusu mwaka. Yaani mnapishana tu. Teh teh
 
walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,164
2,000
mimi nashauri kuanzia mwakani wanandoa wote waanze kulalia vitanda vya Kamba vile vyembamba hili tutoe ripoti juu ya uzi wa mleta mada
 
1gb

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
1,841
2,000
Huyo mzee kawaza kama mm najiona kukua sasa.
Kuna movie niliangaliaga nikaona mzungu analala na mkewe sijui mchepuko,kitanda kidogo hakina hata nafasi ya kumlaza mtoto mchanga awe wa tatu kitandani.
"Nikamwa unaona wenzetu hao,vitanda vyao.?" Nikamwelzea faida ya kulala mmebana kwenye kitanda kidgo.
Mwisho nikamwambia tuuze vyetu ,tunue kidogo.
Akaishia kusema tusiuze tuwaachie wagen sisi tununue kidgo.
😆😆😆😆😆😆😆
 
Dagger-v

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
1,139
2,000
Pia nadhani hiyo yote ilichagizwa na aina ya maudhi waliyokuwa nayo kipindi hicho na sio hawa wanaume wa sasa wa Kidigitali yaani ukijaribu kununa tu basi ujue imekula kwako yaani bila kujishusha mwaeza maliza hata nusu mwaka. Yaani mnapishana tu. Teh teh
Nan ataendekeza ujinga wako mwenyewe .... Kwa pressure za maisha ya kila siku ...watu wako tight ..ukinuna unapoteza muda tuu
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,652
2,000
Wakuu bila shaka hamjambo!

Kuna mzee kaniambia kijana siku hizi ndoa zenu mkigombana mwezi unaisha hamjapatana. Hii ni ajabu sana. Nikamuuliza kwa nini mzee, akasema tatizo ni aina ya nyumba na vitanda mnavyotumia, sisi zamani tulijenga nyumba yenye vyumba vilivyotosheleza wanafamilia hakuna chumba za ziada wala cha wageni, mgeni akija alikuwa anapishwa au analala na wenyeji. Mkigombana usiku mnajikuta mnaelewana tu.

Akaendelea kusema, vitanda vyetu vilikuwa vyembamba yaani upana usiozidi 3½ kwa 6 kwa hiyo mkigombana ni rahisi kuyamaliza usiku wake maana mpende msipende mtaamshana hisia tu.

Sasa hivi kitanda 6×6 mkigombana ni kama mnaishi vijiji tofauti, Mara atoke chumbani akalale chumba kingine. Ajabu sana!

Eti wakuu hii ina uhusiano wowote?
Alisahau hili mwanaume ana kimchepuko na mke ana kibenten what next mgogoro ukianza sindio watu wana kaa mwaka hawagusan ndan wanagusanisha nje.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
11,404
2,000
Wakuu bila shaka hamjambo!

Kuna mzee kaniambia kijana siku hizi ndoa zenu mkigombana mwezi unaisha hamjapatana. Hii ni ajabu sana. Nikamuuliza kwa nini mzee, akasema tatizo ni aina ya nyumba na vitanda mnavyotumia, sisi zamani tulijenga nyumba yenye vyumba vilivyotosheleza wanafamilia hakuna chumba za ziada wala cha wageni, mgeni akija alikuwa anapishwa au analala na wenyeji. Mkigombana usiku mnajikuta mnaelewana tu.

Akaendelea kusema, vitanda vyetu vilikuwa vyembamba yaani upana usiozidi 3½ kwa 6 kwa hiyo mkigombana ni rahisi kuyamaliza usiku wake maana mpende msipende mtaamshana hisia tu.

Sasa hivi kitanda 6×6 mkigombana ni kama mnaishi vijiji tofauti, Mara atoke chumbani akalale chumba kingine. Ajabu sana!

Eti wakuu hii ina uhusiano wowote?

Hamna lolote...kwanza kama mume sitatoka kwenda kulala kwengine zaidi ya chumbani kwetu na mke wangu nae lazima alale humo humo. Akileta jeuri ya kulala chumba kingine eti kisa tumegombana ajiandae kupaki vilago vyake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom