Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,144
- 38,541
Kwa wanandoa mliomaliza ama mnaoenda kufanya tendo hili, sisi tuliohamishiwa wake Dodoma tumwachie Allah. Wanandoa wengi wanapofika muda wa kupeana wanapeana kwa hasira na mwingine mwenzie anafikia hata kwenda sebuleni akamchomekee hukohuko
Someni vitabu vya dini tendo la ndoa linahitaji upenda upole mpaka mnapofikishana. Usikubali mkadamka tu kisa umemaliza wewe hakikisha mwenzioo naye anasema ahsante ndioo utoke. Ile sio gesi ya Oryx iishe unachomoa unabadilisha mtungi mwingine, hapana
Najuaa changamoto za ndoa, nawaasa haijalishi mna tofauti gani, wekeni pembeni. Linapofika swala la tendo la ndoa else utajuta masha yako yote
Na kinachojutisha sio mmoja wenu kuzini nje, la hasha! Memory za humo ndani akilipata dompame mtaani nakwambia akikumbuka ulivyomtesa anapoomba tendo la ndoaa nakwambia utajuta milele
Jitahidini sana sana kwenye hilijambo mliheshimu kama mnavyoheshimu ofisini zenu ola