Ujumbe wangu kwako Jumapili hii...

Ujumbe wangu kwako Jumapili hii...

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,439
Reaction score
872,035
Usijiachilie kupata huzuni, Wala usijiumize mwenyewe kwa makusudi. Furaha ya moyo ni uhai wa mtu; furaha ndiyo inayompa maisha marefu, Jifurahishe na kuwa na utulivu wa moyo, weka huzuni mbali nawe.

Maana huzuni imeangamiza wengi, Wala haina faida kwa mtu yeyote. Wivu na hasira ufupisha maisha, mahangaiko hufanya mtu azeeke upesi. Mwenye moyo mkunjufu na mwema, atachukua hadhari juu ya chakula anachokula.

Sira 30:22-25
 
Mwenye moyo mkunjufu na mwema, atachukua hadhari juu ya chakula anachokula.[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom