Mbinu ya kujua umri wa mwanamke

Mbinu ya kujua umri wa mwanamke

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Unakutana na mwanamke sometimes ana umbo dogo ukizan mtoto kumbe age imeenda, kuna wengine wanasura laini hasa wenye pesa kujua age ake inakuwa ngum anaweza kwambia yeye. Ni mdg kumbe so kweli.

Sasa ukitaka kujua kama dada age imeenda cheki miguu yake vizuri utajua, mwanamke mwenye age ukichek mguu ake Namaanisha unyayo cheki vizuri utaona umekomaa fulani hivi afu una weusi weusi uyo ankuwa ana range 30s kwa wadada

THANK ME LATER
IMG_1053.jpg
 
Mbinu hiyo ni kwa wadada wa Buza tu wavaa makata mbuga, lakini wanaovaa viatu kweli huo unyayo utauona saa ngapi?
 
Ndo tatizo la kujifungia kwenye kadunia kako na kufikiri ndio dunia nzima. Kuna wanawake wana miguu lainiii ila kuna vitoto miguu imekomaa.
Kama wewe hapo.
Sipati picha Kama angekuwa anakujua.

Jael, ulinipotea mama haha
 
Unakutana na mwanamke sometimes ana umbo dogo ukizan mtoto kumbe age imeenda, kuna wengine wanasura laini hasa wenye pesa kujua age ake inakuwa ngum anaweza kwambia yeye. Ni mdg kumbe so kweli...

Sasa ukitaka kujua kama dada age imeenda cheki miguu yake vzr utajua, mwanamke mwenye age ukichek mguu ake Namaanisha unyayo cheki vzr utaona umekomaa fulani hv afu una weusi weusi uyo ankuwa ana range 30s kwa wadada

THANK ME LATER...
View attachment 1490380
Pepo utaisikia RADIO MARIA mkuu
 
Sasa mbona me age imeenda sana yaani sana ila unyayo haujakomaa wala sio mweusi sijui unaniweka kundi gani
Ndio hapo sasa, kuna mama kaniacha age mbali kweli ila ana unyayo laini kunizidi.
 
Back
Top Bottom