Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Pamoja na imani kwamba mahusiano bora huwezekana kwa kukutana na mtu sahihi, na ni dhahiri kwamba mwanamke yeyote anaweza kabisa kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote kwa amani ikiwa kila mmoja wao...
18 Reactions
456 Replies
40K Views
Ewaa! Nipo na kibinti kimoja kwa sasa kinasoma mwaka wa kwanza Muhimbili. Ni kibinti kizuri chenye akili sana. Tokea nianze nako mahusiano huu ni mwaka wa pili kwani nilikipata tokea kilivyokuwa...
4 Reactions
94 Replies
9K Views
Habari wapendwa MMU Kuna tabia ambazo mtoto wa kiume akiwa akiwa nazo zinatia mashaka kama ni mwanaume anaejielewa 1.Kuvaa suruali chini ya makalio wanaume wanaovaa suruali mtindo wanakera mno...
15 Reactions
163 Replies
20K Views
Baada ya kumvumilia sana mpenzi wangu imefika hatua yamenishinda hivyo natafuta sababu ya mimi na yeye kuachana ambayo nikimuelezea mtu wa karibu atanielewaa Maana visa na vituko anavyonifanyia...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Mabinti wanaotikisa viuno au mkia huku wakitembea huwa ni watamu sana, ukiringanishana na wale ambao hawatikisi (static). Na baharia akikutana na wanamna hii lazima atangaze ndoa siku hiyo hiyo...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Wangapi wanayapenda haya maisha?
4 Reactions
55 Replies
5K Views
Si mpenzi wa wanawake waliojazia lakini kwa huyu nilikwama ana kila kitu yani anavutia kiukweli tulizoeana kiasi, nilimtongoza akanambia hawezi kabisa kuwa na mimi lakini hakunipa sababu...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Habari wana JF.. Natumaini wote wazima wa afya, Tangu nijiunge na JF sijawahi kuja kwa heshima namna hii kama nilivo anza na utangulizi apo juu, nipeni kwanza point tatu zangu tafadhali Ishu ni...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Ninakumbuka miaka ya 1980 enzi zile Afrika ya Kusini siasa za ubaguzi wa rangi zimetamalaki. Nchi nyingi zilijitenga na Afrika ya Kusini, passport ya Tanzania iliandikwa kabisa hairuhusu mmiliki...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna msemo ulioko kwenye redpill & pua society unasema, "women make rules for beta males, but break rules for alpha males" kwa wasiojua ngeli hapa mtajiju, ila zifuatazo hizi ndo sheria ambazo...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Nimekumbuka ilikuwa mwaka 2002 au 2003 nilipoitiwa mtoto (demu) aliyetoka Dar. Uncle wake ndiye aliyeniunganishia. Aise! Niliishia kutetemeka kama nimeshikwa na ngiri. Wakati huo nilikuwa Primary...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Kuna demu wa jamaa yangu alikuwa ananiletea letea mazoea nikawa najitahidi kumkwepa ila ikafikia mahali uzalendo ukanishinda. Siku iyo demu alisema anakuja gheto akafika pale tukawa tuna cheki...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Chukulia umempenda au umependwa na mwenzako kimapenzi, itakulazimu uachane na wale mambulula wote uliokuwa nao mwanzoni uongozane na huyo uliyekutana naye; ikiwa na maana ufuate kile anachopenda...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Purity Wanjiru alitoroka kwao na kuanza kuishi maisha ya utotoni akiwa na umri wa miaka 13 Kila anapokumbuka alikotoka maishani, Purity Wanjiru hudondokwa na machozi asijue la kufanya. Purity...
8 Reactions
10 Replies
3K Views
"Nakupenda sana mpenzi wangu" Kauli hii unaichukuliaje? Acha leo nikuibie siri wakati unapomwambia mpenzi wako kuwa unampenda sana mpenzi wako huwa anafarijika sana hata kama anamaumivu moyoni...
1 Reactions
46 Replies
7K Views
Good day pals. Some of us will be questioning our lives as to the resolutions we took in January, if we've been able to keep to it. We all know that their are so many things we wish to stop...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Kwenye maisha kuna kupanda na kushuka, ups and downs. Nimeona mengi ya kuvutia kama upendo wa dhati kwa wapendanao kabla ya ndoa au kabla mwanamke hawa proposed for engagement. Kuna wanaume huwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina mwezi mmoja sasa tangu nimtolee huyu binti ambaye soon atakuwa mke wangu halali wa ndoa. Kama unavyojua mila zetu Africa ukishatoa kishika uchumba + mahali binti anakuwa huru kuja kwako...
12 Reactions
63 Replies
5K Views
Wapo watu wanaoamini vitambi ni ishara ya kuonyesha mafanikio, na kupelekea kuviendekeza na kuleta athari kwenye mahusiano. Hii imekuwa kwa pande zote, iwe kwa wanaume au wanawake. Vitambi...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Je, ni sahihi kwa mwanaume kumpa jina mtoto aliyezaa na mchepuko? Hii nimekutana nayo mahali; mchepuko kulazimisha mwanaume aliyezaa naye ampatie jina mtoto. Hofu yangu ni kuwa, kama mwanaume...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom