Natafuta sababu ya kuachana na mpenzi wangu ambayo watu wa karibu watanielewa

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,179
3,539
Baada ya kumvumilia sana mpenzi wangu imefika hatua yamenishinda hivyo natafuta sababu ya mimi na yeye kuachana ambayo nikimuelezea mtu wa karibu atanielewaa

Maana visa na vituko anavyonifanyia maji yamefikia shingoni naona nikiendelea naye huko mbeleni nitakuja kuumia sana hivyo naombeni mnisaidie ni sababu gani nimtafutie kiasi cha kwamba hata nikiachana naye watu wangu wa karibu nikiwaelezea wanielewe, dah kweli yule mwanamke alikuwa hakufai.

Nafanya hivyo baada ya kugundua watu wa karibu nami wanamkubali sana huyu mwanamke.

Nataka nifanye maamuzi hayo leo, tafadhali naombeni msaada.
 
Mkuu, sisi hatuna sababu ya kukupa umwache, ila weww mwenyewe.
Pia usiseme mabaya yake tu, ila kuna mazuri amekufanyia, na wewe kuna mabaya umemfanyia. Inawezekana hayo mabaya ukuwahi kumwambia kama wewe yanakukera.
We mwite mwambie tu, mama naomba tuachane kwa sababu unayonifanyie naona yananitosha, sio kumpotezea muda. Alafu ishi maisha yako sio ndugu jamaa na marafiki
 
Kwanza wewe mwenyewe una tatizo! Huwezi umizwa kihisia halafu utafute sababu ya kuachana na mpenzi wako ili kila utakaye mwambia akuelewe!
Maisha ni yako fanya unalo ona ni sahihi kwako! Usi ishi kwa kuwa impress watu utaumia siku moja!
 
Huyu mwamba anatafuta sababu ya msingi yakuachana na dem wake.
Mimi nahisi sababu inayomfanya afanye ivo ni ya kipuuzi sana.......
Guess what? Atakuwa amepata dem mwenye msambwanda sasa anaona akimpiga chini huyo wanaemkubali watu wake wa karibu watamuona yeye ni fala huyo.
 
bwege wewe,,,kama huna dada basi mwanao wa kike nae atat.............mbwa na bwege kama wewe then atapigwa chini........jifunze PUNYETO.......................paka wa baa wewe
 
Sasa we jamaa nashindwa ata kukuelewa... kama unamtaftia sababu ya kumuacha basi wewe ndo unamatatizo unatamani tu kumdamp mtoto wa watu sijui umepata ningaunje huko nje ndo limekuzezetesha.... my take mvumilie maake huko unakofkria usdhan ni pa tofauti sana.
 
Kabla hujatafuta sababu nataka nikukumbushe kuwa,

"Kila penzi likiwa jipya huwa ni peponi"!

translation...

"Every love relationship begins with a heavenly feeling"!

Huyo unaemuona malaika anayekufanya umkimbie mchumba uliye naye kwa kumtafutia sababu ya kipuuzi, amini atakuja kuwa mmbaya kuliko na majuto yatakuwa mara 100! Sahio mwanamke wako atakuwa yuko pazuri utabaki unasema angekuwa wako.

Mwanaume anatafuta suluhu ya changamoto daima, hakimbii tatizo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom