Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,351
- 64,518
Wapo watu wanaoamini vitambi ni ishara ya kuonyesha mafanikio, na kupelekea kuviendekeza na kuleta athari kwenye mahusiano. Hii imekuwa kwa pande zote, iwe kwa wanaume au wanawake. Vitambi vimekuwa ni kila kona. Ila wataalamu wanasema, kitambi ni mlundikano wa mafuta uliotafuta sehemu ya kukimbilia, kwa wanaume ukimbilia tumboni na kwa wanawake ukimbilia mapajani na kiasi tumboni.
Hivi vitambi vinapunguza pumzi na matokeo yake baada ya kimoja ni chaliii! Ndio maana siku hizi malalamiko ya kutokuridhishana yamekuwa ni mengi. Tujitahidi tupunguze vitambi tuwaridhishe wapenzi wetu.