Je, ni sahihi kwa mwanaume kumpa jina mtoto aliyezaa na mchepuko?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,511
40,601
Je, ni sahihi kwa mwanaume kumpa jina mtoto aliyezaa na mchepuko?

Hii nimekutana nayo mahali; mchepuko kulazimisha mwanaume aliyezaa naye ampatie jina mtoto. Hofu yangu ni kuwa, kama mwanaume atatoa ushirikiano huo, kuna uwezekano mkubwa mahusiano ya kimapenzi yakaendelea.

Ingawa nia thabiti ni kusitisha mahusiano ya kimapenzi, ila huduma zingine zitatolewa kutoka na uwezo utakavyokuwa.

Je, ni sahihi kwa mwanaume kumpa jina mtoto?
 
Jina anapewa na ukoo pia.
 
Back
Top Bottom