thebogo055
Member
- Jun 22, 2020
- 19
- 176
Kwenye maisha kuna kupanda na kushuka, ups and downs.
Nimeona mengi ya kuvutia kama upendo wa dhati kwa wapendanao kabla ya ndoa au kabla mwanamke hawa proposed for engagement.
Kuna wanaume huwa wanaonesha mapenzi ya kweli kabisa mpaka msichana anajiona bora katika jamii inayomzunguka achana na show off za social media zile kupiga picha huku mme-match nguo na caption tashtiti.
Useme nini usipewe mdada? Kiwanja gani mjin hujapelekwa na babe! Kila kitu anakupatia na kupelekwa sehemu za ndoto zako.
Ikafika kipndi mpaka unatamani ukatoe ushuhuda kanisani kwamba umepata prince charming wa ndoto zako.[emoji85][emoji85][emoji173][emoji173]
Sasa ngoma inageuka baada ya ndoa.
No outings, no zawadi, ukiomba kitu unajibiwa ngoja nikutafutie na usipokumbusha ndio imetoka hiyo.
Ugomvi kila kukicha, pesa imepungua ndani mnakula kwa kuunga unga.
Halafu mtaani kuna watu kibao marafiki zako uliwa diss kisa una prince charming.
Bwana mkubwa saivi akitoka anatoka na rafiki zake na akirudi basi ni late night.
Usipompigia sim kuuliza anarud saa ngap basi anaeza asirudi kabisa.
Ukimuuliza nikuandalie chakula anajibu nishakula.
Je, utafanyaje?
Maana ni changamoto za ndoa. Je, upo tayari ku-stick nae mpaka mpate solution au utamuacha na kurudi kwenu.