Naomba mbinu zenu

Naomba mbinu zenu

AkiliMingi AM

Member
Joined
Jul 5, 2020
Posts
88
Reaction score
60
Habari wana JF.. Natumaini wote wazima wa afya,

Tangu nijiunge na JF sijawahi kuja kwa heshima namna hii kama nilivo anza na utangulizi apo juu, nipeni kwanza point tatu zangu tafadhali

Ishu ni kwamba kuna demu ameletwa hapa kazini kwetu ameingia mda sii mrefu... mm ndie nilie mpa chumba chake cha kulala sasaivi yupo uko ndani.

Ila kiukweli ni mkalii afuu wa kimbulu, demu ana macho ya kulegea, anakiuono kama cha kuchora ana tako flani amaizing uuuuuwiiii (nimeongea kingereza kidogo apo) nimejikuta nimempenda kinyama yani.

Tatzo mm ni mtu flani ivi siezi piga swaga, nasasa demu wangu kanitema kisa cha kijinga jinga nataka nimpate huyu mtoto wa kimbulu ili nimnyooshe ex wangu aumie kuniona na mtoto mkali kuliko yeye.

Naombeni mbinu za kumpata bila kusumbuka saaaan nataka nimtongoze kesho asubuhi jioni aamie chumbani kwangu plz nisaidieni.
 
Mtoto wa kimbulu anaenda kutumika sababu ya kukomolewa kwa ex ..nasikitika Sana.
Akilikisoda
 
Natoa darasa la kitongoza
Kwa siku ni 500 lipia mkuu....

Anza hivi msalimie siku ya kwanza na 2 d3 d4 dñ
Then pale utakapata fursa aidha hapo home kwenu mkapata kupiga stori...jieleze kwa kujiamini na msifie sana tu msifie kwa uzuri shape figure....

Nilipe jero yangu nimalizie
 
Mtoto wa kimbulu anaenda kutumika sababu ya kukomolewa kwa ex ..nasikitika Sana.
Akilikisoda
Amna ntaishi nae sema lazma ex aone aumie ... embu ww imagn ex wako yupo na kifaa kikali
 
Hao sio wachoyo hata kdg usipofanya haraka Baharia mwenzako anawahi mapema Sana
Nipo nao huku nawatembezea rungu balaaaa
 
Natoa darasa la kitongoza
Kwa siku ni 500 lipia mkuu....

Anza hivi msalimie siku ya kwanza na 2 d3 d4 dñ
Then pale utakapata fursa aidha hapo home kwenu mkapata kupiga stori...jieleze kwa kujiamini na msifie sana tu msifie kwa uzuri shape figure....

Nilipe jero yangu nimalizie
mpaka anikubalie
 
mpaka anikubali ndo ntalipa
 
Back
Top Bottom