Baada ya story mingi mingi za kijiwe na jamaa zangu waliokuwa wanasimulia Nguvu ya mkongo jinsi inavyowafanya waonekane Vidume Zero nikasema nisipitwe,
Niliwabashia sana siku hiyo kwamba ukidume...
Mpaka Sasa nina takribani miaka 25. Nikivuta kumbukumbu zangu nimelala wamawake 6 tu. Kwakweli najiona kama sina bahati katika mapenzi, kwa sababu wanawake hawa Ni wachache kulingana na umri wangu...
Hii tabia ya wadada kuchagua wanaume kwa kigezo cha u-handsome, six pack haina maana kwa mazingira ya sasa; wengi wanaishiwa kuchezewa na kuwa single M kwa sababu ya kuchagua sana.
Hii tabia...
Wana MMU nmekuja na maada mezani.
Kuna manzi mmoja nilipewa namba na rafiki yangu nilkuwa nashida anielekeze kitu, nkamtafuta tukaonana ili anisaidie na baada yakuonana nae demu akawa ni mzuri...
Habari za mchana wakuu wa MMU?
Bila kupoteza muda, ni kwamba ukubali au ukatae ukweli ni kwamba ukiwa na rafiki mmoja wa kike ni sawa na marafiki watano wa kiume au zaidi. Iko hivi mwanaume...
Mwanamke kaolewa miaka zaidi ya kumi. Katika hali ya kuishi, kawa na mchepuko katika kuwasiliana na mtu wake wa nje/mchepuko, meseji za mapenzi zinafumwa na mume wake.
Wanawake huwa...
Naomba kuuliza, mwanaume unatoa wapi ujasiri au unapata wapi ujasiri wa kuacha mwanamke?
Mwanaume kabisa unamtamkia mwanamke sikutaki au nimekuacha? Huo ni utaahira wa kiwango cha juu sana...
Habari wakuu,
Kwanza kabisa nipende kusema nimekua nikifuatilia kwa ukaribu mada mbali mbali humu hasa katika jukwa hili la MMU. Kwa kweli mara nyingi nimekua nikiingia humu kwa furaha na kutoka...
Kuna jamaa yetu alinikuta naelekea kufanya mtihani wa darasa la 7 (miaka ile tukiita 'elo wai'). Yeye kwa kimuhemuhe chake na bila shinikizo akadai angenipa zawadi kama ningefanya vizuri ile pepa...
1. Kujiongelesha mwenyewe. Jiongeleshe mtoto akiwa karibu juu ya mambo unayoyafanya. Mfano, naosha vyombo sasa, napika chakula, nafagia nyumba.
2. Simama, mpe mtoto muda wa kujibu. Unapozungumza...
Nawasalimu wana MMU,
Siku chache zilizopita mpenzi wangu tukiwa pamoja aliniambia toka tuanze mahusiano naye ya kulala pamoja hajawahi kusikia nikijamba usiku akauliza ni kwanini sifanyi hivyo...
Habari wana jamvi, heri ya pasaka kwenu.
Jamani maisha haya basi tu, nna mchumba wangu mdada mmoja hivi yupo mkoani na uchumba wetu una kama miezi mitano, sasa mimi huwa naenda sana kumuona huko...
Wasalaam
Sikumbuki tarehe ila ilikuwa mwezi wa pili 2017. Mechi ya Europa league, Man united vs Saint Etienne ya Ufaransa. Nakumbuka game hii Pogba alichuana na ndugu yake wa saint Etienne, na...
Wandugu sijui hii nilioambiwa na babu kutakua na ukweli,
Babu: mujukuu wangu mwanamke mwenye vidole vilivyoacha nafasi kubwa pale pakuvalia kanda mbili dolegumba hutoifurahia ndoa yako maana...
Natumai hamjambo wakuu.
Wanaume tuna wivu sana bt wanawake mnazidi, aise wakuu usiombe ukafanyiwa wivu na mwanamke yaani hawa viumbe wana wivu wa kijinga kweli, unakuta hata ukiongea na sim...
Aisee wakuu muwe mna waheshimu sana mama zenu kwa kweli ,kwa niliyoyaona wodi ya wazazi aiseee nimeathirika kisaikolojia sitamani tena kumtia mimba mke wangu nahisi kama atakufa kwa kweli.
Roho...
Mambo zenu?
Ni hivi kuna kaka mmoja alihamia mtaani kwetu lakini huyu kaka alikuwa ni kipikipiki wenzake wanakiendesha,
walimnyanyapaa kwa kweli pale kitaani kwetu,mimi nilikuwa nikimtoa toa sam...