The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Naomba kuuliza, mwanaume unatoa wapi ujasiri au unapata wapi ujasiri wa kuacha mwanamke?
Mwanaume kabisa unamtamkia mwanamke sikutaki au nimekuacha? Huo ni utaahira wa kiwango cha juu sana.
Kifungu cha 2(A) cha sheria za kibaharia ya mwaka 1884 na marekebisho yake ya mwaka 1950 scramble for partition of women inatamka wazi kabisa kua mwanaume hutakiwi kumuacha mwanamke, hata kama humpendi hutakiwi kumtamkia kua humtaki. Muache yeye mwenyewe aamue kama anaendelea na wewe au haendelei. Muweke lwenye coma siku ukijisikia unaenda kumuamsha na unapata starehe.
Ukiona mwanaume anamuacha mwanamke ni ukosefu wa kutomuzijua sheria za kibaharia. Hata makaloni hayajaacha nchi yalizotawala pamoja na kua ziko huru, bado yana-exercise significant influence kwenye hizo nchi.
Hutakiwi kumuacha mwanamke, mpe uhuru atakaohitaji ila endelea kumuweka kama koloni lako.
Huu ni ushauri wa bure kwa vijana na wanaume wenzangu. Tusivunje sheria zetu wenyewe tulizojiwekea.