Wanaume tuna wivu but wanawake mnazidi

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wakuu.

Wanaume tuna wivu sana bt wanawake mnazidi, aise wakuu usiombe ukafanyiwa wivu na mwanamke yaani hawa viumbe wana wivu wa kijinga kweli, unakuta hata ukiongea na sim akasikia sauti ya kike anasogea karibu kujua nini mnaongea then after mazungumzo yale atataka maelezo ya unaezungtmza naye

Wife mara nyingi tumekua tukikwazana ajili ya huu wivu wa kijinga, imefikia hadi anategeshea usiku umelala anachukua sim anapekua majina yote ya kike anachukua namba then kukicha anaanza wapeleleza

Anawapeleleza kwa kujifanya dada angu kua mi nimempa namba zao na kumwambia ni mawifi zake tarajiwa, ukweli kashanigombanisha na baadhi yao na hii tabia hataki kuacha.

Sasa jana nikiwa katika story na jamaa yangu kuhusu wivu wa wanawake ndipo akanambia mwanamke kama anakupenda na ukawa unamchapa mkia vizuri wanakuaga na wivu wa kijinga sana.

Je, wakuu nyie mnatumia mbinu gani kuukabili huu wivu wa kijinga wa wanawake?
 
Mkuu kwani ngumi huna..?
Kwanini unataka u solve tatizo kwa njia ngumu wakati uchebe alishatufundisha short cut way..😅
 
Tafuta zile picha za shilole ndo uulize hiyo halafu yako.. ndo utajua zipo aina nyingi za hamira hata ngumi ni hamira..😅
Kristo nisaidie jamani naogopa kupigwa aiseh🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Na walizaliwa June
Upande mwingine ni watu ambao wana “Gubu,” wakali, wenye kupenda kujishughulisha na wanajiamini sana. Ni watu ambao wanaweza kubadilika lakini wenye msimamo na itikadi, wanaweza kuwa ni wenye wivu mkali na wenye kupenda kudhibiti wapenzi wao.

Hisia ni kitu muhimu sana katika mapenzi kwa Kaa, pamoja na kwamba kimaumbile ni watu wanaopenda kujilinda na wanaogopa sana kuumizwa kimapenzi na wapenzi wao.
Wanapenda sana kuwa karibu na wanayempenda na kuwaonyesha huba na upendo mkubwa. Kwao hakuna mapenzi ya nusu nusu, wanapenda sana kuwa na mtu ambaye atadumu nae milele.
 
🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️Hapana aiseh
 
Back
Top Bottom