Huu ndiyo muonekano wa kijana wangu

Huu ndiyo muonekano wa kijana wangu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,421
1594641661733.jpeg

Hii picha ni ya mitandao lakini huu ndiyo nuonekano wa kijana wangu wa miaka 19.
 
Nimeishiwa na nguvu kabisa hata kupiga nimepiga kwa hasira.

Pole sana. Vijana wetu wa siku hizi wana vichwa vigumu sana. Ila usikate tamaa, endelea kuongea naye mpaka aelewe ni jinsi gani unavyochukizwa na muonekano wake.
 
Back
Top Bottom