Nakumbuka babu aliniambia, mjukuu wangu ukitaka kuoa mwanamke mchunguze vidole vya mguu

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Wandugu sijui hii nilioambiwa na babu kutakua na ukweli,

Babu: mujukuu wangu mwanamke mwenye vidole vilivyoacha nafasi kubwa pale pakuvalia kanda mbili dolegumba hutoifurahia ndoa yako maana wanawake namna hiyo sehem zao za siri hua zimeachia sana
20190521_132331.jpeg


Ukitaka kufurahia tafuta mwanamke vidole vya mguu vilivyo shikamana.
20190521_132424.jpeg
20190521_132331.jpeg
 
Babu yako anataka kukunusuru na kibamia chako usiaibike.
Sasa wewe njoo tuulize sisi ambao hatujwahi hata kukuona zaidi ya kuona miguu yako ambayo wanaume wa kinondoni wanajiuliza ni mnyama gani huyo kwenye picha kama hawajakuambia muangalie lips na mdomo.
 
Hahahaha
Babu yako anataka kukunusuru na kibamia chako usiaibike sasa wewe njoo tuulize sisi ambao hatujwahi Haha kukuona zaidi ya kuona miguu yako ambayo wanaume wa kinondoni wanajiuliza ni mnyama gani huyo kwenye picha kama hawajakuambia muangalie lips na mdomo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom