Anataka nauli ya ndege

Onyix

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
683
788
Habari wana jamvi, heri ya pasaka kwenu.

Jamani maisha haya basi tu, nna mchumba wangu mdada mmoja hivi yupo mkoani na uchumba wetu una kama miezi mitano, sasa mimi huwa naenda sana kumuona huko mkoani na mara zote huwa natumia usafiri wa bus kutoka Dar kwenda huko anapokaa(mkoani). Tatizo lilianza pale alipo sema anataka kuja kunisalimia dar, nikamkubalia poa lakini akanipa masharti kwamba hawezi kupanda Bus kwaiyo anataka nimtumie nauli ya Ndege, ukweli kwa kipindi hicho nauli ilikua juu sana, nikamwambia sina hela afanye aje na Bus tu akajibu hawezi banda Bus maana akipanda huwa anahisi kuumwa, nikamwambia basi asubiri nipate hiyo nauli ya ndege!, amesubiri ameona miezi inaenda hela hatumiwi, akaamua kuniambia nimpe niliyo nayo yeye ataongezea nikamwambia kila siku anapanda mabus leo inakuaje asipande akanijibu wewe ni mchumba wangu na unafanya kazi siwezi panda bus wakati wewe upo, nikamwambia mimi sitafuti pesa kwa ajili ya kupanda ndege na kuigiza maisha , baada ya kumwambia hvyo akaninunia kama wiki moja hivi, badae akaanza kujiongelesha tena, sasa juzi kakumbushia tena, anataka kuja kunisalimi Pasaka na anaitaji nauli ya Ndege nikamwambia msimamo ni ule ule sina hela, baada ya kumwambia hvyo alituma msg ndefu sana anaeleza jinsi anavyo lipambania penzi letu na kulijenga, nikamjibu tu kama nauli ya ndege inajenga penzi basi bora libomoke tu ila hela ya ndege sina.

Nimenuniwa tena, nikaona napata pressure bure nimemwambia motive yake nimeiona anatafuta sababu na asitumie nguvu nyingi anaweza fanya maamuzi yoyote mapema na nipo tayari kuyapokea.

Ukiacha haya mambo kila ijumaa huwa namtumia hela ya vikoba hapo acha vocha na hela nyingine na huwa sioni hela yake ya vikoba inapo enda wakigawana huwa ananiambia tu tumevunja kikoba wiki iliyo pita ila hela sioni hata akifanya biashara inshort hela yake haionekani.

Pia kinacho mpa kiburi ni kwamba mama angu anamkubali sana, sasa kupitia hicho kigezo anadhani amenikamata.

KWA KIFUPI NIMEMWAMBIA HAKUNA NDEGE WALA MAMA AKE NA NDEGE APAMBANE KWA HALI LIYO ANAYO SIPENDI UPUMBAVU MIMI.

Pasaka njema.
 
Mwambie ndege tunapanda uwezo ukiruhusu kwasasa hauruhusu, au anataka kuunga juhudi za mtukufu kwa vitendo? Asijisahau sana akizani mama yako ndio muoaji mwambie akili zetu tunazijua wenyewe hatuchelewi kuwatafuta wapanda mabasi
 
1st to reply:

Wewe ni mvulana sio mwanaume.Inaonesha maisha yake ni ya kudunduliza tu.

Asikutishe piga chini tafuta mchuchu mwingine.

Hela ya kula na kunya umpe halafu akuletee kiburi kweli?Umeniudhi kweli.

Mimi juzi kati huwezi amini elfu kumi tu kapewa kwa ajili ya nyodo zake za muda mrefu.Ataamua kusepa au kubaki,huwa sibembelezi ujinga.

We mwanaume kweli au kijana/kivulana cha Dar?Unatuaibisha wanaume wa Jiji.

Chukua tahadhari na virusi vya korona.
Habari wana jamvi, heri ya pasaka kwenu.
Jamani maisha haya basi tu, nna mchumba wangu mdada mmoja hivi yupo mkoani na uchumba wetu una kama miezi mitano, sasa mimi huwa naenda sana kumuona huko mkoani na mara zote huwa natumia usafiri wa bus kutoka Dar kwenda huko anapokaa(mkoani). Tatizo lilianza pale alipo sema anataka kuja kunisalimia dar, nikamkubalia poa lakini akanipa masharti kwamba hawezi kupanda Bus kwaiyo anataka nimtumie nauli ya Ndege, ukweli kwa kipindi hicho nauli ilikua juu sana, nikamwambia sina hela afanye aje na Bus tu akajibu hawezi banda Bus maana akipanda huwa anahisi kuumwa, nikamwambia basi asubiri nipate hiyo nauli ya ndege!, amesubiri ameona miezi inaenda hela hatumiwi, akaamua kuniambia nimpe niliyo nayo yeye ataongezea nikamwambia kila siku anapanda mabus leo inakuaje asipande akanijibu wewe ni mchumba wangu na unafanya kazi siwezi panda bus wakati wewe upo, nikamwambia mimi sitafuti pesa kwa ajili ya kupanda ndege na kuigiza maisha , baada ya kumwambia hvyo akaninunia kama wiki moja hivi, badae akaanza kujiongelesha tena, sasa juzi kakumbushia tena, anataka kuja kunisalimi Pasaka na anaitaji nauli ya Ndege nikamwambia msimamo ni ule ule sina hela, baada ya kumwambia hvyo alituma msg ndefu sana anaeleza jinsi anavyo lipambania penzi letu na kulijenga, nikamjibu tu kama nauli ya ndege inajenga penzi basi bora libomoke tu ila hela ya ndege sina.

Nimenuniwa tena, nikaona napata pressure bure nimemwambia motive yake nimeiona anatafuta sababu na asitumie nguvu nyingi anaweza fanya maamuzi yoyote mapema na nipo tayari kuyapokea.

Ukiacha haya mambo kila ijumaa huwa namtumia hela ya vikoba hapo acha vocha na hela nyingine na huwa sioni hela yake ya vikoba inapo enda wakigawana huwa ananiambia tu tumevunja kikoba wiki iliyo pita ila hela sioni hata akifanya biashara inshort hela yake haionekani.

Pia kinacho mpa kiburi ni kwamba mama angu anamkubali sana, sasa kupitia hicho kigezo anadhani amenikamata.

KWA KIFUPI NIMEMWAMBIA HAKUNA NDEGE WALA MAMA AKE NA NDEGE APAMBANE KWA HALI LIYO ANAYO SIPENDI UPUMBAVU MIMI.

Pasaka njema.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulimuonyesha una pesa mwanzoni sasa unajichomoa kwa ajili ya nauli ya ndege duh.....yaani wanaumme wa kitanzania ni ma peasant sana mwenzako kakuambia hawezi kupanda basi wewe unamlazimisha apande basi za mikoani wewe kwanini hukutafuta mchumba wa level yako wakupanda ma basi aina ya kandakhari super najumunisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie nyie Sio wachaw hamna ungo landa kakupa fumbo hamaanisha ndege Iz za maguful. KAMA anamaanisha mpime akil
Habari wana jamvi, heri ya pasaka kwenu.
Jamani maisha haya basi tu, nna mchumba wangu mdada mmoja hivi yupo mkoani na uchumba wetu una kama miezi mitano, sasa mimi huwa naenda sana kumuona huko mkoani na mara zote huwa natumia usafiri wa bus kutoka Dar kwenda huko anapokaa(mkoani). Tatizo lilianza pale alipo sema anataka kuja kunisalimia dar, nikamkubalia poa lakini akanipa masharti kwamba hawezi kupanda Bus kwaiyo anataka nimtumie nauli ya Ndege, ukweli kwa kipindi hicho nauli ilikua juu sana, nikamwambia sina hela afanye aje na Bus tu akajibu hawezi banda Bus maana akipanda huwa anahisi kuumwa, nikamwambia basi asubiri nipate hiyo nauli ya ndege!, amesubiri ameona miezi inaenda hela hatumiwi, akaamua kuniambia nimpe niliyo nayo yeye ataongezea nikamwambia kila siku anapanda mabus leo inakuaje asipande akanijibu wewe ni mchumba wangu na unafanya kazi siwezi panda bus wakati wewe upo, nikamwambia mimi sitafuti pesa kwa ajili ya kupanda ndege na kuigiza maisha , baada ya kumwambia hvyo akaninunia kama wiki moja hivi, badae akaanza kujiongelesha tena, sasa juzi kakumbushia tena, anataka kuja kunisalimi Pasaka na anaitaji nauli ya Ndege nikamwambia msimamo ni ule ule sina hela, baada ya kumwambia hvyo alituma msg ndefu sana anaeleza jinsi anavyo lipambania penzi letu na kulijenga, nikamjibu tu kama nauli ya ndege inajenga penzi basi bora libomoke tu ila hela ya ndege sina.

Nimenuniwa tena, nikaona napata pressure bure nimemwambia motive yake nimeiona anatafuta sababu na asitumie nguvu nyingi anaweza fanya maamuzi yoyote mapema na nipo tayari kuyapokea.

Ukiacha haya mambo kila ijumaa huwa namtumia hela ya vikoba hapo acha vocha na hela nyingine na huwa sioni hela yake ya vikoba inapo enda wakigawana huwa ananiambia tu tumevunja kikoba wiki iliyo pita ila hela sioni hata akifanya biashara inshort hela yake haionekani.

Pia kinacho mpa kiburi ni kwamba mama angu anamkubali sana, sasa kupitia hicho kigezo anadhani amenikamata.

KWA KIFUPI NIMEMWAMBIA HAKUNA NDEGE WALA MAMA AKE NA NDEGE APAMBANE KWA HALI LIYO ANAYO SIPENDI UPUMBAVU MIMI.

Pasaka njema.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom