Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Mambo zenu?
Ni hivi kuna kaka mmoja alihamia mtaani kwetu lakini huyu kaka alikuwa ni kipikipiki wenzake wanakiendesha,
walimnyanyapaa kwa kweli pale kitaani kwetu,mimi nilikuwa nikimtoa toa sam taimu akiniomba msaada nilikuwa sisiti kumsaidia kwa kuwa ni binadamu mwenzangu na isitoshe hakuwa na ndugu ambao walikuwa wakija kumtembelea kwa kweli na mimi wala sikutaka kujua sababu zilizomfanya huyu mwanaume mwenzangu akubali kuhemewa.
Basi ilifika wakati huyu shoga akahama pale mtaani kwetu na mimi sikujua ni wapi alikohamia. Baada ya miaka kama 10 kupita huyu kaka kaja nyumbani kwetu kunitafuta na aliponipata akaniambia ya kwamba anataka kunipa zawadi ya nyumba nichague mimi ni maeneo gani kati ya haya (Manzese, migomigo, kino na mbagala) ili aninunulie lakini kwa sharti la kwamba siku ya ufunguzi wa nyumba atafanya sherehe ya kunikabidhi akiwa pamoja na mume wake aliyempata huko Ulaya na baadhi ya mashoga wengine wa jijini Da sa am nao watakuwepo.
Je,unadhani ndugu zangu watanielewa vipi kwenye suala hili?
Je,niikubali hii ofa au nimtolee mbavuni?
Nalog off