Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Baada ya story mingi mingi za kijiwe na jamaa zangu waliokuwa wanasimulia Nguvu ya mkongo jinsi inavyowafanya waonekane Vidume Zero nikasema nisipitwe,
Niliwabashia sana siku hiyo kwamba ukidume kwenye mapenzi ni wewe mwenyewe na wala sio kwa matumizi ya mkongo wakawa wagumu kunielewa ,
baada ya mabishano kadhaa nikaomba huo mkongo na mimi nikajaribishe nione Nguvu yake kama kweli,
Basi Mshikaji mmoja akanipatia huo mkongo wenyewe ilikuwa ni vumbi vumbi tu lililofungwa kwenye kiraironi kama wafungaji wa ugoro vile na kuniambia mzigo ndio huo Zero nenda utest alafu uje hapa kijiwe utupe mrejesho,
Nikawajibu tu ok sawa nikavuta simu mbele yao nikapiga Simu moja tu kwa manzi mmoja hivi kumwambia aje gheto nina shida nae akasema sawa anakuja ,
Nikawaomba matumizi yake wakaniambia eti nichanganye na mafuta mgando kidogo nipake kwenye kichwa cha ndonga yangu na kazi kubwa ni kwamba inaua sensi ya ya dushe na kukufanya uchelewe ,
Nikasema poa jioni nakuja na mrejesho ,huyo zero mpaka magetoni nikampigia tena mtoto akasema yuko njiani anakuja,
Nikaingia zangu bafuni nikaoga nikachukua hilo vumbi lao fanya kama walivyonielekeza ,
Baada ya dakika kadhaa mtoto huyo katimba sikumchelewesha nikajifanya nimemmisi kupita maelezo kumbe nina yangu ,
Baada ya michezo michezo kadhaa nikatia dushe sasa ili nione kama kweli ,
Aaah mwanzo nikataka niamini flani hivi kumbe hakuna kitu bwana,sensi yangu ilikuwa pale pale na muda nilioutumia ni ule ule tu niliokua nautumia siku zote,
Baada ya kumaliza tukaenda kuoga piga story mbili tatu mtoto akasepa ,
Baada ya mtoto kusepa Nikachukua lile vumbi tazama sana,na kucheka eti hii ndio wanaita putururu sijui mundende sijui mkongo OG hapa hamna kitu kabisa wahuni wamepigwaaaa.
Hakuna cha mkongo wala mundende mapenzi ni hisia zako tu na jinsi ya kuweza kuzikontol
Nilivyotoka hapo nikaelekea kijiweni nikawamwagia vumbi lao na kuwaambia mnadanganyana tu hapo Hamna kituuuuu kwa herufi kubwaaaaaa.
CC Zero IQ