Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
Wana MMU nmekuja na maada mezani.
Kuna manzi mmoja nilipewa namba na rafiki yangu nilkuwa nashida anielekeze kitu, nkamtafuta tukaonana ili anisaidie na baada yakuonana nae demu akawa ni mzuri nikaingiza swagga zangu akaeleweka baada ya siku nkamwambia rafiki yangu kuwa yule demu nmemtongoza, kumbe na rafiki yangu nae anakula papuchi hapo lakini hakutaka kuniambia.
Baada ya siku kadhaa hivi demu nikamuita getto nikamla papuchi, rafiki yang akagundua nimemla akaanza kumtumia dem SMS za ajabu.
Baadae kidogo ananitumia na mimi huyo dem nmemla sana tu. Na mimi nkamuulza kwanini hukuniambia? Mi huwa sipend nishee dem mmoja na rafiki yang, yaani kiukweli bora ungeniambia mi nkaachana naye. Hiyo ni sahii wana MMU? [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] coz rafiki yang yeye anajiona okay.