Happy Father's Day Dadii. Mwaah!

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,347
2,000
1592739900061.png

Dadii Duduke and Kasie Matata.

Jana jioni tulisemeshana, maneno tukapeana kisha tukaagana, wewe ukiingia masokoni kufanya manunuzi nami nikiingia jikoni kukaanga mihogo na prawns.
Nakumbuka uliniambia unapenda sana mihogo, nikakuahidi ukija ntakupikia kama unavyopendelea....

Hakika wajua kulijaza tabasamu langu usoni, wanifanya maneno ya Mahaba hayanikauki kichwani, tuu kwa ajili yako na kila uchao napata jina jipya la kukuita. (Duuduukee)

Ukaniacha nilale unono, asubuhi ukaamka nami, Dadii wewe ni mwanaume wa pekee kwangu. Najua baadhi ya memba humu JF wameshachoka kusoma habari zako mimi nikikusifia, kukuhusudu ila hilo si kitu kwangu. Ndo kwaanzaa mshawasha unakuwa mpya kila uchao na wala sitochoka kukuimbia na kucheza pia ahahahahaa. Ulinionesha madikodiko yako (barbercue) ya mlo wa jioni Dadii, na ukaniahidi siku nikija utaniandalia kama huo. Aahahahhaaa nilifurahia ulivyoniambia ...''you are ready to cheer me again...'' yuuuhuuuuuu aahahhahaaaaa Kasie is crazy you know she screams everywhere aahahahahahhaaaaaa mmuuuahhh!!

Dadii, najua wewe ni baba wa mtoto, nakukubali sana malezi yako sina lepe la hofu wala wasi utavyomlea mtoto wetu. Najua unahamu sana nikuzalie mtoto, this 2020 am ready Dadii, am ready to have that belly for you..... aahahahahaaaa (najua wengine watasema wee si kibibi, wee si umeshaanza menopozi ahahahaaa, msipaniki, ukiwa kwenye Mahaba umri unarudi chini hadi miaka 18 aahahahahahaaaa, yeah am crazy).

Ila saa ingine Dadii una masihara, kwahiyo ulisahau kama ulinipa yule mamba ukaanza kumtafuta umtinge aahahahahahaa, faaaakiiiiiii yuuuuuu mbioooo.

Well, nisemayo hapa najua utayasoma ukiamka, wanijua na wajua nini namaanisha Mahaba Matata na Kasie Matata.


Now on you are my Dadii Dudukee. I gave you what I have, everyday I dream of you, you always have a permanent place in my mind, I sing for you my Dadii Duuduukee, mmuuahh!!

Nakudediketia huu wimbo wa Simi - Duduke siku ya leo ya wababa Duniani, its me singing for you. Naisubiria kwa hamu siku utayokuja nikupokee kwa bashasha na upendo tele, ntakukumbatia, ntakubusu na kukupa madoido yangu yote. Haki sitaki usononeke ukiwa nami, nakuchungulia ujue ahahahahahaaa. Nakuombea kila mara uendelee kuwa baba bora, baba mlezi kwa watoto, best Dadii ever to Kasie only ahahahahaaa nna wivu jee.

Nikiwa nawe Dadii masaa huwa yanasimama kwa maana hamu haiishi, sichoki na wala sitaki tuagane.

Simi ananikumbusha wakati tunakutana na kufahamiana, kabla sijakufahamu nilikupenda Dadii, kwako sikuwa na hofu kuwa utanifanya ubaya. You are my full table Dadii, a self service buffet I ate anything I want whatever, whenever I feel like.....


Now that I know you, we can go anywhere. Now that I know I love you, you can have me everywhere. I know you are there, I really wanna give it to you, now that you know me very well, just be my controller, Kasie me Matata.

I wanna barbercue with you, and kiss you while we taste the salt n'pepper. I thank God I found you, if you..., if I .... I just wanna come over, spell jokes and roll over jam n'cheese ready to sandwich each other, much me, munch you aaammm, yummy 😋😋

Ukiamka utingishe mabega, shingo na magoti uchezee haka kawimbo ka Duduke.

Kasinde wa Dadiii Duduke.
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,347
2,000
wake zetu wangekua na mbwembwe ka hizi haki tusingewah chepuka

Hhahahahhaaaa well.

Fahamu tuu kuwa tumeumbwa kwa hulta tofauti na malezi na makuzi yetu pia yanatofautiana. Kuwa jovial na masihara muda mwingi ni kero pia kwa wengine.

Namshukuru Mungu, baada ya kufahamiana na Dadii tukajikuta tunashabihiana mambo mengi tuu, na hii haimaanishi hatuudhiani au kukasirishana au kugombana, laah hasha.

Ila waweza wewe ukaanza kumfanyia hizi mbwe mbwe mkeo akifurahia basi utashangaa na yeye atarejesha majeshi ya kukufanyia mbwembwe.

Happy Father's day to you if you are raising a child.

Kasinde Duduke.
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,590
2,000
Ukimaliza kumuhubiri huyo mzee uje uniwekee maji ya kuoga kisha tufanye urudi tena huko kwa mapengo lako..😜😅
 

namriny

Senior Member
Mar 21, 2020
166
250
Hongeren wababa wte mliopo hum,niwatakie happy father's day,ila kama wew n baba na unamchepuko nje hii hongera yangu usichukue,nawale wa baba ambao mlizalisha hamjaoa ila mnalea watoto wenu mbarikiwe pia,ila kama ulizalisha alafu hujui kulea wew pita kushoto
 

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,243
2,000
Ila wanawake nyie Mungu atuongoze vizuri tu tuishi nanyi kwa akili.

Sikukuu yenu ikifika...hata malaya na waliowabambikia baba zetu mimba tunawatakia.

Ila yetu mnaanza ubaguzi mara wanaochepuka mara sijui waliofanya nini.
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,347
2,000
Ukimaliza kumuhubiri huyo mzee uje uniwekee maji ya kuoga kisha tufanye urudi tena huko kwa mapengo lako..😜😅

Aaahahahahahaaa Keendhhyyyy acha wivuuu.... Siku kama ya leo Dadii namuogesha, nampikia, namlisha kisha nambeba na kumbembeleza alale usingizi.

Ungekuwa umeanza kulea mwana ningekuletea keki ya Father's Day. Ongeza bidii na kujituma upate kopi duniani ehehehehee.
 

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
32,842
2,000
Ntajaribu kwa mtu mwingine nione kama mwanangu atamnufaisha.
Mie naamini hivyo kbs!
Dingi yangu amezaa nje watoto 4! Mtoto wa mwisho wa nje hajafanana na sisi kabisaaa....ana kaurabu .na huku kwetu hakuna..! Mweupeeeee! Bas zikaanza roumours oh sio mtoto wake..nahis baba aliziba pamba!..
Ila alibaguliwa vyakutosha aisee..bas alikua akija home hakuna hata mmoja anayemtreat well..had msos ! Bas mie nikawa najitoa ufahamu Sana (ingawa najua later maza atanipiga)! Kumbe bwana me nnavyonjali anayaweka akilini ..so amesoma same yr na dogo letu la mwisho...mtoto wa ndoa anashkomeshwa nje ya nchihuyu baba akiamua anatoa ada au amrushe...vitabu akamwambia tafuta mie Sina hela .bas akaniambia tukafaiti akapata..kumbe moyoni kaweka kinyongo kwa familia yetu...
2017kaja akanipigia simu...akasema sisy wewe unajua umesaidia kufika hapa? Bas akaanza nikumbusha Mambo ya 2000's huko! Mie hata sikumbuki...alikua anaongea analia...
Baba alitaka aebde teaching akagoma ..bas dingi akasema Kama umegoma mie sitoi ada .akasoma finance bila ya Ada ya baba...bamdg akaamua kumsaidia ..
Dogo ametusua mie hata kumpgia huwa najipanga hata mwezi! Elewa maana ya kutusua maisha...ni boss huko tra mpakani!
Unaona? Ila kiukwel Kama sio wetu kbs! Bas tu!..
Mh naishia hapa najua atakuwaga anapita jf!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom