Nawashauri wadada msichague sana, mtazeekea kwenu...

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,511
40,592
Hii tabia ya wadada kuchagua wanaume kwa kigezo cha u-handsome, six pack haina maana kwa mazingira ya sasa; wengi wanaishiwa kuchezewa na kuwa single M kwa sababu ya kuchagua sana.

Hii tabia iliniathiri sana kutokana na kutokuwa na hizo sifa, nilipigwa vibuti sana nami kama baharia niliamua kutafuta vifaa vikali kuliko wao ili kujiridhisha nafsi yangu; kuanzia mchepuko mpaka wife.

Nilichokuja kugundua, wale wadada wazuri huwa hawachagui chagui sana ila wale wenye sura nzito sasa, ndio utasikia nataka m-handsome, mwenye six pack n.k.

Nawashauri wadada msichague sana, mtazeekea kwenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom